Uchaguzi mkuu Somaliland

Eneo lililotangaza kujitanga na Somalia lapiga kura kumchagua rais wake

Uchaguzi mkuu Somaliland

Eneo lililotangaza kujitanga na Somalia Somaliland lapiga kura kumachagu rais wake Jumatatu katika harakati zake za kuimarisha demokrasia.

Taifa hilo linaonekana kuwa na amani kinyume na jirani yake Somalia.

Eneo hilo Kaskazini mwa Somalia lina utulivu ikilinganishwa na Somalia lilijiondoa kutoka katika uongozi wa Mogadishu mwaka 1991.

Watu watatu wanagombea kiti cha urais katika uchaguzi huo.

Muse Bihi kutoka katika chama cha Kulmiye, Abdirahim Iro  na Ali Warabe kutoka katika upinzani.

Faysal Ali Warabe  alishindwa katika uchaguzi wa mwaka 2010.Habari Zinazohusiana