Uzalishaji wa mafuta wapunguka kwa kiasi cha

Waziri wa Sudan anaye husika na mafuta alitangaza kuwa uzalishaji wa mafuta umepungua kwa 12% katika miezi  sita ya mwanzo ya mwaka 2017

Uzalishaji wa mafuta wapunguka kwa kiasi cha

 

Waziri wa Sudan anaye husika na mafuta alitangaza jumatatu kuwa uzalishaji wa mafuta umepungua kwa 12% katika miezi  sita ya mwano ya mwaka huyu.

Wakati akitoa ripoti ya wizara yake kwenye bunge, waziri Saad Eddine Boshri, ametangaza kuwa uzalishaji wa mafuta kwa kila siku ni pipa ayina ya baril 88 000.

Kulingana na shirika la habari la Anadolu, uzalishaji wa mafuta wa Sudan ulikuwa ni baril 105 000 kwa kipindi kama hiki cha mwaka jana.

Waziri Saad Eddine Boshri alifafanua kupungua kw auzalishaji huo umesababishwa na kuanguka bei ya mafuta katika soko za kimataifa, na kupunguka kwa wawekezaji.

 


Tagi: Sudan , Mafuta

Habari Zinazohusiana