Vijana wa Afrika wataadharishwa na uhamiaji haramu

Vijana wa Afrika watahadharishwa uhamiaji haramu na madhara yake

Vijana wa Afrika wataadharishwa na uhamiaji haramu

 

Umoja wa Afrika watahadaharisha vijana na madhara ya uhamiaji kwa kutoa ahadi za kutoa fursa kwa vijana kujiendeleza.

Rais wa zamani wa Ghana John Dramani  Mahama ametoa wito kwa vijana kuhusu uhamiaji haramu na kuwatahadharisha na madhara ya uhamiaji haramu.

Rais huyo wa zamani amewatahadharisha vijana wanaotumia bahari ya Mediterania kusafiri kimagendo kuelekea barani Ulaya.

Ikiwa vijana ni wengi na ujasiri ya mali Afrika kumeandaliwa fuko kwa ajili ya ufunguzi wa miradi midogo midogo ya maendeleo kwa vijana.Habari Zinazohusiana