Benki ya Maendeleo ya Afrika yavunja rikodi katika uwekezaji

Benki ya Maendeleo ya Afrika yavunja rikodi  kwa kuwekeza kwa kiwango cha dola bilioni 7,67

Benki ya Maendeleo ya Afrika yavunja rikodi katika uwekezaji

 

Benki ya Maendeleo ya Afrika yavunja rikodi kwa kuwekeza kiwango cha dola bilioni 7,67.

Benki ya Maendeleo ya Afrika yaonesha mabadiliko makubwa  katika uwekezaji katika sekta tofauti kama sekta ya nishati, ukulima na viwanda.

Mwaka 2017 Benki ya Maendeleo ya Afrika iliwekeza kiwango cha dola bilioni 7,67.  Mkurugenzi wa Benki hiyo  Akinwumi Adesina  mjini Abidjan amesema kuwa  kiwango hicho ni kiwango kikubwa katika historia.

Mkurugenzi  huyo aliyazungumza katika  mkutano ambao uliandaliwa kuhusu maendeleo na atua ya benki ambayo imekwisha fikiwa.


Tagi: kilimo , BAD , uchumi

Habari Zinazohusiana