Watalii waliokuwa wametekwa waachwa huru Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo

Watalii wawili w kutoka Uingereza waliokuwa wametekwa waachwa huru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Watalii waliokuwa wametekwa waachwa huru Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo

Watalii wawili kutoka nchini Uingereza  waliokuwa wametekwa  Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo waachwa huru.

Watalii hao walitekwa walipokewa wakitalii katika mbuga ya Virunga Ijumaa. Watu ambao hawakujilikana waliwateka  watalii hao.

Taarifa zilizotolewa na  nyanzo vya habari Uingereza na JK Kongo zimefahamisha kuwa watalii hao waliachwa huru Jumapili.

Tangazo lililotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Boris Johnson ametoa pongeza kwa uongozi wa  shirika la kulinda mazingira Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ushirikiano wake ambao umepelekea watalii hao kuachwa huru.

 Habari Zinazohusiana