Wahamiaji 81 wafamaji katika kisiwa cha Kerkennah nchini Tunisia

Ripoti mkoya kuhusu wahamiaji waliofariki katika ajali ya Kerkennah yafahamisha kuwa idadi ya watu waliofariki imeongezeka na kufikia watu 81 Tunisia

Wahamiaji 81 wafamaji katika kisiwa cha Kerkennah nchini Tunisia

Kwa mujibu wa msemaji wa mahakama Sfax nchini Tunisia ni kwamba idadi ya wahamiaji haramu waliofariki kaada ya mashua yao kuzama  katika kisiwa cha Kerkennah imeongezeka na kufikia watu 81.

Muradi Turki amefahamisha kuwa wahamiaji 81 kutoka katika mataifa tofauti barani Afrika wamefariki katika tukio hilo Kusini mwa Tunisia.

Idadi ya watu waliotangazwa kufariki hapo awali ilitajwa kuwa watu 73 pekee ndio waliofariki katika ajali hiyo.

 

 

 Habari Zinazohusiana