Shirika la TİKA la Uturuki latoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Nakuru nchini Kenya

Shirika la kutoa misaada la Uturuki TİKA latoa msaada kwa waathirika wa magfuriko Nakuru nchini Kenya

Shirika la TİKA la Uturuki latoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Nakuru nchini Kenya

Shirika la misaada la Uturuki TİKA limetoa msaada kwa waathirika wa mafuriko yaliotokea Nakura nchini Kenya. 

 Mratibu wa shirika la TİKA mjini Nairobi Emre Yüksek amelifahamşsha shirika la habari la Anadolu kuwa  shirika hilo limetoa msaada kwa familai zaidi ya 150 ambazo ziliathiriwa na mafuriko yaliotokea nchini Kenya.

Mratşbu huyo wa TİKA amesema kuwa Uturuki itaendelea kuwa pamoja na watu wenye kuhitaji msaada.

Mmmoja miongoni mwa watu walioathirika na  mafuriko hayo ametoa shukrani kwa shirika la TİKA kwa msaada wake.

Watu 50 walifariki katika mafuriko yaliotokea May  na majumba zaidi ya 500 kubomoka kutokana na maji.

 

 

 


Tagi: TİKA , Nakuru , Kenya

Habari Zinazohusiana