Mashua yazama na kusababisha vifo vya watu 7 Nigeria

Mvua kali ikiambatana na radi imesababisha kuzama kwa mashua na kupelekea vifo vya watu 7 nchini Nigeria.

Mashua yazama na kusababisha vifo vya watu 7 Nigeria

Mvua kali ikiambatana na radi imesababisha kuzama kwa mashua na kupelekea vifo vya watu 7 nchini Nigeria.

Mashau hiyo ilikuwa imebeba watu 30 Kaskazini mwa Nigeria.

Kwa mujibu wa habari,ajali hiyo imetokea katika mto wa Bafarawa katika eneo la Sokoto.

Baada ya kuazisha operesheni ya uokoaji watu saba wamepatikana wamepoteza maisha huku wengine kumi na tano wakiwa hawajulikani walipo.

Zoezi la uokoaji linaendelea.

Tagi: vifo , Nigeria

Habari Zinazohusiana