Mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu nchini Nijeria

WHO na mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu nchini Nijeria

Mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu nchini Nijeria

Shirika la afya la umoja wa mataifa WHO limesema eneo la kaskazini magharibi mwa Nijeria ambalo linakaliwa na kikundi cha ugaidi cha Boko Haram wameanza kutoa chanzo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu.

Katika maelezo yaliyotolewa na WHO ni kwamba;  wametoa chanjo kwa watu zaidi ya laki tatu na elfu sabini na saba wa maeneo ya Mubi na Maiha ambayo yanapatikana katika jimbo la Adamawa ili kuweza kuzuia ugonjwa huo.

Katika maeneo hayo timu 35 za dharura pamoja na vifaa vimeweza kupelekwa, zimeendlea kupasha habari hizo, Baade majimbo ya Borno na Yobe ndiyo yatakayofuatia kupatiwa chanjo hizo.

Miaka minne iliyopita zimeripotiwa kesi za kipindupindu elfu nne mia tatu tisin na sita na kati ya hao sitini na nane walipoteza maisha

Katikanchi ya Nijeria katika maeneo ambayo maji safi ya kunywa hayapatikani vya kutosha mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu hutokea mara kwa mara.

Katika maeneo ambayo kundi la ugaidi Boko haram linafanya mashambulizi watu huwapasa waishi kwenye makambi ya wakimbizi ambazopia mazingira ni hatarishiHabari Zinazohusiana