Rais Edgar Lungu uruhusiwa kushiriki katika uchaguzi Zambia

Edgar Lungu rais wa Zambia aruhusiwa na mahakama ya katibu kushiriki katika uchagzui mkuu wa mwaka 2021

Rais Edgar Lungu  uruhusiwa kushiriki katika uchaguzi Zambia

Edgar Lungu rais wa Zambia aruhusiwa na mahakama ya katibu kushiriki katika uchagzui mkuu wa mwaka 2021.

Rais wa Zambia Edgar Lungu aruhusiwa na mahakama ya katibu nchini humo kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ifikapo mwaka 2021.

Taarifa ziliiztolewa katika jarida la Lusaka Times nchini Zambia,  ni kwamba mahakama ya katiba nchini humo imetoa ruhusa kwa rais Lungu iwapo atapendelea kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika  nchini humo  mwaka 2021.

Ruhusa hiyo imetolewa  na kipengelea ambacho kinafahamisha kuwa mtu mmoja ana haki ya kugombea kiti cha urais  mara mbili pekee nchini Zambia.Habari Zinazohusiana