Wafanyakazi waanza mgomo wakiomba kuongezwa mshahara Zimbabwe

Wafanyakazi nchini Zimbabwe waanza mgomo wakiiomba serikali  kuongezwa mshahara

Wafanyakazi waanza mgomo wakiomba kuongezwa mshahara Zimbabwe

Wafanyakazi nchini Zimbabwe waanza mgomo wakiiomba serikali  kuongezwa mshahara.
Wafanyakazi nchini Zimbabwe waanza mgomo wakiishinikiza serikali kuwaongozea mishahara yao.
Kiongozi  shirika la wafanyakazi nchini Zimbabwe Peter Mutasa amewatolea wito wafanyakazi kutoripoti kazini kuonesha ghadhabu walizonazo dhidi ya serikali kupandisha bei ya bidha mahitaji huku mishahara ikisalia kuwa midogo.
Mgogo huo wa wafanya kazi  unatarajiwa kuchukuwa muda wa siku  tatu kuanzia Jumatatu.
Wafanyakazi  wameanza mgomo hou wakiwa  na loengo la kupinga kupanda kwa bei za mafuta na bidhaa muhimu katika maisha ya kila siku.
Rais wa Zimbabwe ambea aliahidi  mabadiliko ametariwa kutangaza kupanda kwa bei za mafuta Jumamosi.
 Habari Zinazohusiana