Watu 7 wauawa katika mlipuko wa lori la kusafirisha mafuta Nigeria

Watu  7 wauawa  katika  mlipuko wa  lori la kuafirishaia mafuta katika kitongoji cha Awka nchini Nigeria

Watu  7 wauawa katika mlipuko wa lori la kusafirisha mafuta Nigeria

Watu  7 wauawa  katika  mlipuko wa  lori la kuafirishaia mafuta katika kitongoji cha Awka nchini Nigeria.

Watu 7 waripotiwa kufariki na wengine wengi  kujeruhiwa katika ajli ya lori la kusafirishia mafuta  iliotokea katika eneo la Awka nchini Nigeria.

Lori hilo la kusafiria mafuta limelipuka na kupelekea maafa hayo.

Msemaji wa jeshi la Polisi Anambra  kwa  jina la Haruna Muhammes  amefahamisha kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo Awka na kusababisha vifo vya  watu 7 na kuwajeruhi wengine wengi.

Kikosi cha zima  moto kumedhibiti moto uliotokea katika ajli hiyo huku watu walioathirika na ajali hiyo  kupelekwa  katika hospityali tofauti ambazo zinapatikana karibu ya eneo la tukio.Habari Zinazohusiana