Masharti ya Matumizi

Masharti ya Matumizi

Matumizi ya tovuti ya trt.net.tr  na Trtvotworld kati nchi ya uturuki au kimataifa yanakubaliwa kulingana na masharti zifuatazo.

1.       Kwa kupatia wavuti za  lugha kwa njia ya trt.net.tr au anwani nyingine maalum,watumiaji wanakubali na kufungwa na masharti ya matumizi yafuatayo. Tafadhali soma masharti yafuatayo ya matumizi kwa makini, na kama hukubaliani na masharti yote yafuatayo sitisha matumizi ya tovuti mara moja na usitumie tovuti hii tena.

2.       TRT ina haki ya kurekebisha au kuboresha  masharti ya matumizi kwa trt.net.tr na wavuti za lugha nyingine katika Trtvotworld wakati wowote. Ni wajibu wa mtumiaji kufuatilia suala la marekebisho. Kwa hiyo ukubaliana na marekebisho yote katika hali ya matumizi ya muda mrefu kama unaendelea kutumia tovuti za lugha inayohusiana. Kama hukubaliani na masharti yaliyorekebishwa au kuboreshwa tafadhali usitumie tovuti tena. Ukigundua kuwa sehemu Fulani ni kinyume na masharti ya trt.net au Trtvotworld basi masharti yaliyoandikwa katika trt.net ndiyo yatakayofuatwa.

Matumizi ya trt.net.tr na tovuti za lugha za Trtvotworld.

3.       Unakubali kutumia tovuti ya Trtvotworld, ambayo inaweza kufikiwa kupitia trt.net.tr au kwa kupitia anwani yake yenyewe, tu kwa madhumuni yasiyokiuka sheria, na si kwa njia ambayo inakiuka au kuzuia haki za matumizi ya wengine.Ni marufuku kusambaza kitu chochote kisichofaa au maudhui yoyote ambayo inaweza kusababisha dhiki au usumbufu kwa watumiaji wengine na kuharibu mtiririko wa kawaida wa mazungumzo ndani ya tovuti.

Umiliki

4.       TRT inaendesha tovuti ya trt.net.tr na Trtvotworld na hutoa habari nzima au sehemu ya habari kutoka TRT yenyewe na vyanzo vingine vya habari. Maudhui ya trt.net.tr na Trtvotworld, pamoja na majina yote, picha na nembo zinamilikiwa na TRT na wamiliki wa tatu ni chini ya hati miliki na alama ya biashara sheria za kitaifa na kimataifa.Hauwezi kurekebisha, nakala, kurudia, kuchapisha tena, kusambaza au kushusha kwa kompyuta yako yaliyomo ikiwa ni pamoja na ishara ya kompyuta na programu ya Trtvotworld.Unakubali kutumia yaliyomo tu kwa madhumuni ya binafsi na yasiyo ya kibiashara mradi hati miliki na haki ya kumiliki zimehifadhiwa. Hamna sehemu yoyote ya makala haya inayoweza kutafsiriwa ili kuwezesha matumizi haramu ya yaliyomo katika trt.net.tr na Trtvotworld zilizotajwa hapo juu.

5.       Hauwezi  kuchapisha au kuandika upya kwa magazeti au kuchapisha moja kwa moja au kusambaza yaliyomo katika trt.net.tr na Trtvotworld.Kama kuna mgongano wowote kati ya maneno haya na masharti maalum kuonekana katika mikataba kati ya TRT na washirika wake kuhusu ugawaji wa vipindi vya redio na televisheni na matangazo ya vifaa vingine masharti katika mikataba yatatumiwa. Hauwezi kuokoa yote au sehemu ya yaliyomo katika tovuti katika kompyuta yako ila kwa madhumuni ya binafsi na yasiyo ya kibiashara.

Michango ya TRT

6.       Michango yako kwa TRT matangazo, katika hali ya maandishi, picha, video au sauti, itakuwa na maana ya kutoa leseni kwa TRT kutumia duniani kote, pamoja na tovuti za kimataifa za TRT. Watumiaji wanaweza kupata nakala, kukabiliana (ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kukabiliana na hali hiyo kwa kazi na madhumuni ya wahariri), kusambaza, kutangaza au kuwasilisha nyenzo bila wajibu wowote kulipa kwa haki miliki.TRT inaweza kutumia mchango wako pamoja na baadhi ya masirika yanayoaminika katika wakati mwingine. Bado unaweza kushiriki vifaa na watu wengine. Ni lazima kuthibitisha kwamba mchango wako ni awali yako na haina udhalilishaji na / au tusi na kukiuka kwa sheria ya Kituruki, na kwamba una haki ya kuidhinisha TRT kwa kutumia nyenzo kwa ajili ya vitu vilivyotajwa na una ridhaa ya mtu aliyeshirikishwa katika kazi yako au wazazi wake / mdhamini  wake ikiwa ako chini ya miaka 18.

 

Wajibu.

7.       Trt.net.tr na  Trtvotworld inaweza kuhusisha taarifa na viungo kutoka tovuti nyingine ya internet. TRT haiendeshi wala kusimamia habari, bidhaa na huduma zinazotolewa na touvuti hizo na wala haiwezi kutoa ukuhakika juu ya mambo yaliyomo na matumizi ya yaliyomo katika tovuti hizo.

8.       trt.net.tr na  Trtvotworld inaweza kuhusisha maoni na vikao vya kuwezesha mwingiliano halisi ya watumiaji na vyumba vya gumzo.TRT haisimamii ujumbe, habari au nakala zinazotumwa katika vikao hivyo.Hauruhusiwi kufanya yafuatayo katika vikao na vyumba vya gumzo:

 

o   Haupaswi  kuzuia watumiaji wengine kutumia vikao, vyumba vya gumzo na njia zingine za maingiliano.

o   Haupaswi kusambaza kitu chochote chenye haramu, vitisho, vurugu, kuwadhalilisha, ujeuri, picha za uchi, au habari mbaya inayokiuka sheria yoyote ya kitaifa au kimataifa (ikiwa ni pamoja na sheria za mitaa na majimbo ya kiwango), hufanya tendo la jinai au kueneza kashfa .

o   Haupaswi kutangaza habari yoyote, programu au vifaa vingine, ikiwa ni pamoja na yale yaliyohifadhiwa kwa njia ya hakimiliki, alama ya biashara au haki ya kumiliki na yale yaliyochukuliwa kutoka kwao, ambayo ni kinyume za haki za watu wengine, na kupuuza au kinyume na haki za wengine bila ya ruhusa ya mmiliki au mmiliki wa hati miliki.

o   Haupaswikusambaza aina yoyote ya habari, programu au vifaa vingine ambayo yana virusi au mambo mengine yoyote ya kuharibu,