Swali la Mwezi

Mechi ya fainali Ulaya ambayo timu ya walemavu ya Uturuki ilichukuwa ushindi  ilipambana na timu gani?

  1. Brazil?

  2. Uingereza?

 

  1. Ujerumani?

 

 

Watu watatu wa kwanza watakao jibu vema  watakuwa washindi na kupewa zawadi kutoka kutoka katika ofisi zetu za Idhaa Sauti ya Uturuki.

Mnaweza kutuma majibu yenu kwa kutumia anuani yetu ya hadi idikapo novemba  30 mwaka 2017.


Jibu swali la mwezi