Uchambuzi wa Matukio

Sera ya uongozi wa Rais mwendazake Barack Obama

Uchambuzi wa Matukio

Tupo katika wiki ya mwisho ya mwaka katika kalenda yaMilad .

Ni wakati huu ambapo kuna makala ,matarajio ya mwaka mpya  yanayochapishwa na vyombo vya habari vya dunai.

Kwa kawaida mwaka mpya unapoingia kila mtu huwa na matumaini ya mwaka bora zaidi kuliko ule wa mwanzo hivyo basi hauna yeyote huwa na matamanio ya kuendelea kwa mambo yaliyokuwa katika huo mwaka ulioisha .

Kwa kifupi ni kuwa mwanzo wa mwaka mpya ni mwanzo wa ukurasa mpya kwa wengi.

 

Kila mtu hujitahidi kusahau matatizo au taabu walizopitia .Ni hali ambayo kuwa inamfanya mtu kujihisi nikwamba kwa kusahau matatizo hayo basi huwa ameyatupilia mbali au kuyamaliza .Kwa bahati mbaya kuna mfumo wa kihakika katika maisha haya na kukiuka mfumo huo au kukwepa  mfumo huo huleta matatizo baadaye badala ya kuyatatua .Hivyo basi kuona tatizo na kuliacha bila ya kulitatua haliondoa dhiki wala kuondoa tatizo hilo na badala yake mfano wa theluji,huongezeka na kuendelea kuganda na kuwa ngumu kama mlima wa barafu.

 

Tatizo la usalama duniani lieendelea kuwa sugu hasa mwaka 2016 kwa sababu ya sera za Marekani zikionozwa na rais mwendazake Barack Obama.Obama na timu yake ya NEOCONS wameunda sera ya ‘Mbinu mpya ya Usalama’ambayo badala ya kutatua suala hilo kuu limesambaratisha sio tu Mashariki ya kati bali pia baadhi ya mataifa barani Ulaya .Sera hiyo imezingira mataifa hayo mithili ya mikono pweza na kupelekea kuwa na janga kuu katika mataifa mengi.Leo hii ugaidi si tishio tu kwa miji ya Mombasa,Tel aviv,Nairobi,Baghdad au hata Kabul bali pia tishio kwa miji ya bara la Ulaya kama Paris,Brussels ,Roma,Amsterdam,Oslo na London.Katika kila sekta na viwanda nchini Marekani maisha ya raia yapo hatarini kwa sababu ya janga hili.

 

Katika uongozi wa Obama kumekuwa na utovu wa usalama hasa kutoka kwa polisi wa Marekani.Polisi wa Marekani mwaka huu wametekeleza mauaji kadhaa ya watu weusi na pia baadhi ya raia wa asili ya Uhispania .Matukio haya yamepelekea kuendelea kuwa na magawanyiko nchini humo hasa katika miji ambapo watu weusi wamelazimika kuunda makkazi al maarufu kama Ghettos na kutoka kwa makaazi hayo mashirika ya habari zao zimeamgazia kutokuwa na usalama kutoka kwa polisi nchini umo.

 Haya yote yamesababishwa na sera ya Obama ya ‘Mbinu ya mpya ya usalama.’.Wapinzani wa Obama na pia vyombo vya habari vya Marekani vimeiita sera ya Obama kuwa ‘Bata kilema’.

 

Makala ya ‘bata Kilema’ yatapeperushwa hewani muda mfupi kabla ya Obama kuondoka rasmi White House.Hata hivyo itachukuwa miaka mingi kabla ya kuondoa sera yake na kwa mara nyingine kuwa na dunia bora zaidi kwa ajili ya wanadamu kuishi bora .

 

 

Uongozi wa Obama umekuwa ukishirikiana na makundi ya kigaidi badala ya serikali za mashariki ya kati kupambana na magaidi .

Sera zinazotumika katika kanda ya mashariki ya Kati ni ishara tosha ya mfumo wa Marekani wa ushirikiano baina ya ona makundi ya kigaidi.Marekani iemkuwa ikiendeleza operesheni Mosul kwa kwanza kujaribu kufanya ushirikiano na kundi la kigaidi la Hashdi Shabi  ambalo limetekeleza mauaji mengi nchini Iraq.Vile vile Markani imeungana na kundi la kigaidi la PKK na kutoa msaada wa sialaha nzito kwa magaidi hao .

Kwa mtindo sawia pia inafanya muungano na kundi la kigaidi la YPG ambalo linatekeeleza vitisho katika nchi ya Syria .YPG imetekeleza mashambulizi dhdi ya jeshi la Uturuki ambayo ni nchi mwanachama wa NATO kwa muda wa mwaka mmoja .Maelfu ya askari hao ni kutoka Uturuki na pia askari wa NATO.

Obama hajaungana na kufanya kazi pamoja na makundi yakigaidi dhidi ya Uturuki pekee bali pia dhidi ya NATO.Hapo awali pia Marekani ilitoa usaidizi kwa DAESH kwa kupeleka matani ya silaha kwa kundi hilo hatari la kigaidi.Kwa muda mrefu Iran imekuwa kiangalia na kutazama DAESH ikitekeleza mashambulizi Syria bila kusema kwa matumaini kuwa Utawala wa Assad utasaidia kwa mafuta .

Obama na washirika wake wa Marekani wameamua kushirikiana na magaidi katika mbinu yake ya kulinda usalama na mbinu hii imesababisha tabu na uchungu mkubwa katika Ulaya ,mashariki ya kati na dunia nzima kwa ujumla .Mbinu ya Obama imedhihirika kuwa mbinu ya kuinua makundi ya kigaidi duniani na kuwasaidia katika kutekeeleza uharibifu pekee duniani.

Kiongozi wa kundi lililoenea zaidi duniani la FETÖ,Fetullah Gülen amepewa hifadhi nchini Marekani.

Kiongozi huyu gaidi anaishi kilomita kadha tu kutoka mji mkuu wa Washington.Aidha kwa miaka mingi amekuwa akishiriki katika kutoa misaada ya kifedha katika sekta za viwanda,eleimu na hata kisiasa nchini humo .

Mbinu ya Obama White House itaendelea baada ya kuondoka kwake na kuangamizwa kwake pia kutachukua muda na lakusikitisha ni kuwa bado vifo vya watu wasio na hatia vitatekelezwa .Habari Zinazohusiana