Raia kutoka Somalia ateuliwa waziri wa uhamiaji Canada

Raia wa Somalia ambae ni rafiki wa Uturuki ameteuliwa kuwa waziri wa uhamiaji Canada

Raia kutoka Somalia ateuliwa waziri wa uhamiaji Canada

Raia wa Somalia ambae ni rafiki wa Uturuki ameteuliwa kuwa waziri wa uhamiaji Canada

Ahmed Hussein raia kutoka Somalia ameteuliwa kuwa waziri wa uhamiaji nchini Canada.

Ahmed JHussein ni rafiki wa Uturuki ambae alishiriki katika maandamano ya kuonga mkono demokrasia mjini Istanbul.

Ahmed Hussein alisuuza nyoyo za waturuki kwa kushiriki katika maandamano ya demokrasia yalioandaliwa mjini Istanbul kufuatia jaribio la mapinduzi la Julai 15 yalioendeshwa na wahaini wa kundi la FETÖ/PYD.

Ahmed akşwa mwenye asili ya Somalia huwa akitembelea jiji la Istanbul mara kwa mara ili kuonesha ushirikiano wake na Uturuki katika mradi kuhusu wanafunzi kutoka Syria. Wanafunzi hao wapo chini ya usimamizi wa ofisi ya meya wa jiji la Istanbul Pendik.

Ahmed Hussein amefahamisha kuwa Uturuki ni nchi ambayo imejitolea kuwapa hifadhi watu zaidi ya milioni 3,5 wanapkimbia vita, jambo ambalo hakuna nchi yeyote imeweza kufanya.Habari Zinazohusiana