Dylann Roof ahukumiwa adhabu ya kifo Marekani

Mshatakiwa wa mauaji ya kibaguzi katika kanisa Charleston ahukumiwa adhabu ya kifo Marekani

Dylann Roof ahukumiwa adhabu ya kifo Marekani

Mshatakiwa wa mauaji ya kibaguzi katika kanisa Charleston ahukumiwa adhabu ya kifo Marekani

Dylann Roof alietekeleza mauaji katika kanisa la jamii ya wamarekani wenye asili ya Afrika Charleston kusini mwa Marekani amehukumiwa adhabu ya kifo.

Dylann Roof ni kijana mwenye umri wa miaka 22 amehukumiwa adhabu hiyo kwa kuwamalizia maisha watu 9 mwaka 2015 katika kanisa hilo.

Jopo la majaji  limetoa hukumu hiyo ya kifo Jumanne Januari 10.

Dylann alishambulia kanisa la African Methodist Episcopal Church Juni 17 mwaka 2015.Habari Zinazohusiana