Mkwewe wa rais wa Georgia ashambuliwa kwa silaha

Mkwewe wa rais wa Georgia ashambuliwa kwa silaha

Mkwewe wa rais wa Georgia ashambuliwa kwa silaha

Mindia Gogoçuri ,mkwewe wa rais mpya wa Georgia Giorgi Margravashvili ashambuliwa kwa silaha .

Kwa mujibu wa taarifa ya shirika moja la habari la Georgia ni kuwa Mindia alishambuliwa jana usiku katika mji mkuu wa Tbilis .

Mindia pamoja na rafiki yake waliokuwa pamoja wakati wa shambulizi hilo walipelekwa katika hospitali ya Tbilis .

Hospitali hiyo ya taifa imetoa taarifa kuhusu majeruhi na kusema wapo salama .

 Habari Zinazohusiana