Rex Tillerson: "Tunatakiwa kushirikiana na rais Erdoğan"

Rex Tillerson afahamisha kuwa ni muhimu kushirikiana na Uturuki

Rex Tillerson: "Tunatakiwa kushirikiana  na rais Erdoğan"

Rex Tillerson afahamisha kuwa ni muhimu kushirikiana na Uturuki

Rex Tillerson ambae atachukuwa wadhifa wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika serikali ya rais mpya wa Marekani Donald Trump amefahamisha kuwa ushirikiano mpya na serikali ya Ankara katika ushirikiano ni muhimu.

Rex  amefahamisha kuwa ushirikiano mpya na Uturuki kuhusu suala la Syria unahitajika.

Uturuki ni mshirika muhimu na wa muda mrefu katika shirika la NATO.

Serikali ya Marekani inapaswa kushirikiana na r serikali ya rais Erdoğan kuhusu suala la Syria.

Rex aliyafahamisha hayobaada ya kuhujiwa kuhusu sera mpya za kşgeni za serikali ya Trump.

Kuhusu Syria alisema kuwa Assad anatakiwa kuondoka madarakani na kupanga serikali mpya.

 Habari Zinazohusiana