"Uturuki inaunga mkono Georgia kujiunga na NATO"

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki afahamisha kuwa Uturuki inaunga mkono Georgia kujiunga na NATO

"Uturuki inaunga mkono Georgia kujiunga na NATO"

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki afahamisha kuwa Uturuki inaunga mkono Georgia kujiunga na NATO

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu  amefanya mkutano na waandishi wa habari  kufuatia mazungumzo aliofanya na waziri wa mambo ya nje wa Georgia Mikheil Janelidze.

Waziri wa mambo ya nje wa Georgia pia alishiriki katika mkutano wa 9 wa mabalozi  nchini Uturuki.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki alifahamisha kuwa Uturuki inaiunga mkono Georgia kujiunga na NATO.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu  amefanya mkutano na waandishi wa habari  kufuatia mazungumzo aliofanya na waziri wa mambo ya nje wa Georgia Mikheil Janelidze.

Kiongozi huyo wa kidiplomasia wa Uturuki amepongeza serikali kwa kumpokea waziri wa mambo ya nje wa Georgia.

Waziri Janelidze alikutana pia na  rais Erdoğan na anatarajiwa kuonana na waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım.Habari Zinazohusiana