Rais Erdoğan atolea wito Urusi na Marekani kuondoka nchini Syria

Rais Erdoğan atolea wito Marekani na Urusi kuondoka nchini Syria iwapo suluhisho la kijeshi limeshindikana

Rais Erdoğan atolea wito Urusi na Marekani kuondoka nchini Syria

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa iwapo suluhisho la kijeshi limeshindikana nchini Syria basi Marekani na Urusi ziondoe wanajeshi wake katika ardhi ya Syria.

Hayo rais wa Uturuki aliyazungumza akiwa  katika uwanja wa ndege  mjini Istanbul akielekea Sochi  Urusi kukutana na rais Putin.

Katika  ziara yake  nchini Urusi, ushirikiano katika sekta ya biashara na uchumi ni masuala muhimu.

Uturuki katika kipindi cha miezi kadhaa wakati wa kiangazi, watalii zaidi ya milioni 4 kutoka Urusi  walitembelea nchini Uturuki.

Mradi wa bomba la gesi katika ushirikiano wa  soko la nishati.Habari Zinazohusiana