Faida za kunywa kahawa

Utafiti umeonyesha kuwa unywaji kahawa una faida kubwa kwa mwanadamu.

Faida za kunywa kahawa

Utafiti umeonyesha kuwa unywaji kahawa una faida kubwa kwa mwanadamu.

Mtu anaekunywa vikombe vitatu hadi vinne vya kahawa kwa siku,huishi kwa muda mrefu ukilinganisha na asiekunywa kabisa.

Utafiti uliofanywa katika chuo kimoja mjini London umeonyesha kuwa mtu mwenye kunywa kahawa huwa na uelewa zaidi ukilinganisha na asiekunywa.

Magonjwa kama saratani,kisukari,matatizo ya maini na vilevile akili yameonekana kuwapata kwa nadra wanyaji kahawa.

Wanawake wajawazito pia hufaidika kwa wingi.

Ripoti zinaonyesha kuwa faida za kunywa kahawa ni kubwa kuliko hasara.


Tagi: Kahawa

Habari Zinazohusiana