Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa Matukio

Shirikisho la kujihami la Magharibi ambalo linatambulika kimataifa kama NATO ni shirikisho ambalo liliundwa kwa malengo ya kupambana na kushamiri kwa Umoja wa mataifaya kisoshalisiti ya kisovieti. Umoja wa kisoshalisti wa kisovyieti ndio Urusi ya sasa katika historia.

NATO au shirkisho lakujihami la mataifa ya Magharibi liliunda shirikisho hilo  baada ya kumalizi kwa vita vya pili vya dunia.

Siasa za muungano wa mataifa ya kisoshalislti ulitia hofu  mataifa ya Magharibi hata baada ya Aprili 4 mwaka 1949. Mwaka huo mataifa ya Magharibi yaliunga umoja ilikuwa ni Marekani, Uingereza, Ubelgiji, Ufaransa, Uholanzi, Italia, Island, Danmark, Luxumburg, Norway, Portugal na Canada na baada muungano huo kuzidi kuongeza wanachama wake.

Miongoni mwa mataifa ambayo yalijiunga na u shirikisho la kujihami la Magharibi mapema mno imo pia Uturuki ambayo ilijiunga mwaka 1952.

Malengo na thumani la shirikisho hilo ilikuwa kutoa kwa mataifa wanachama ulinzi dhidi ya vitisho vyovyote kutoka nje au kutoka katika mataifa yenye uhasama na wanachama wa shirikisho la NATO. Ulinzi wa kjeshi na kuhakikisha pia ushirikiano katika skta ya uchumi na jamii miongoni mwa matifa wanachama.

NATO ilijadiliwa mwaka 1991 na mlengo wa Mashariki uliweza kuondolewa maoja kwa moja.

Kuhamiwa kwa Kuweit baada ya miezi kadhaa wanachama wa NATO walionesha umuhimu wa kuingilia kati ili kumaliza tatizo lililotokea.

Waziri mkuu wa zamani wa Italia Giulio Andreotti alisema kuwa umoja huo katika kipindi hicho ikiwa Oktoba 24 mwaka 1990 upo nchini humo.

NATO ilikuwa tayari kuingilia kati mzozo wowote ambao ulionekana unalenga nchi yeyote ambayo ni mwanachama wa shirikisho hilo. Mifano hai ilionekana katika mataifa ya Ulaya Mashariki. Mifumo tofauti ya mapigano ilionekana na mbinu tofauti. NTO ilitumia kila jitihada ili kumzuia adui kokote kule alikoonekana.

Kitengo kinachohusika na ujasusi CIA  Marekani mwaka 1956 kiliendesha uchunguzi katika vita.

 

Katika mjadala wa GLADIO ilionekana kuwa NATO inaendesha mfumo mmoja kwa mataifa wanachama. Mataifa yote  katika shirikisho yalipewa  kauli wakati wa mjadala na kupatia suluhu.

Wakati huo , muda mchache baadae vita vikazuka Yugoslavia wenyewe kwa wenyewe. Vita hivyo vilitambulika kuwa vita vya kimbari kwa kuwa vililenga tabaka moja katika jamii. Muda ulipofikia ikaonekana kuwa NATO inahitaji kuwa vita visitishwe.

Tukitazama kwa sasa kukaliwa kimabavu kwa Iraq na Afghanistan NATO imefuta mjadala.

NATO imeonekana kufumbia macho kundi la FETÖ licha ya uchunguzi  uliofanyika kuonesha ushahidi kuwa kundi hilo ni kundi la kigaidi. Baada ya jaribio la mapinduzi Maghairibi haifuatilii ushahidi unaotolewa.

Raia wa Uturuki  walimiminika mabarabarani baada ya wito uliotolewa na rais Recep Tayyıp Erdoğan kuzuia  jaribio la mapinduzi. Ni wazi kuwa viongozi wa ngazi za juu katika jeshi  walikuwemo katika utaarishaji wa zoezi lao hilo la kutaka kupindua serikali. Baadhi ya wahaini na wanajeshi waliosailiti taifa walikimbilia na kupewa hifadhi katika mataifa ambayo ni wanachama wa NATO. Bila ya kujali ushirikiano mataifa hayo ymetoa hifadhi kwa wahalifu hao.

Wengi wao miongoni mwa wanajeshi waliokimblia katika mataifa hayo walifutwa katika jeshi la Uturuki huku wakiwa bad ona vyeo vyao katika jeshi la NATO.

Baadhi yao wameonekana wazi  kuwa walikuwa na ushirikiano na makundi ya kigaidi na kuzidi kupewa fursa ya kushiriki katika harakati za NATO.  Wengi miongoni mwa magaidi waliohusika na jaribio la mapinduzi walikuwa wafanyakazi wa serikali na kupewa mshahara wa ona NATO.

Baba wa taifa la Uturuki Mustafa Kemal  ailikuwa na lengo la kuikomboa Uturuki kama anavyofuata nyao rais Erdoğan.

Wakati wa jaribio la mapinduzi Julai 15 mwaka 2016 na wahaini wa kundi la kigaidi la FETÖ , NATO ilishangaza kwa kuchelewa kuonesha msimamo wake.

 

 

Jambo lingine ambalo lilishangaza ni mataifa wanachama wa NATO kama Uturuki kuwakaribisha walioendesha jaribio la mapinduzi Uturuki.

Tutazame  mambo ambayo yanaashiria ushirikiano wa NATO na baadhi ya wale ambao waliendesha jaribio la mapinduzi Julai 15.

1 Afisa wa NATO  na washirika wanne wa kijeshi Norway walipewa hifadhi  baada jaribio la mapinduzi.

2 nyaraka mabzo zilikuwa ni za kuunda zilionesha kuwa FETÖ  na baadhi ya wanajeshi waliokimbia sio kweli meja Ahmet Erdoğan Uingereza, Nicolson Innsworth GL31DN na mktaba wa Gloucester.


Tagi: Uturuki , EU , NATO

Habari Zinazohusiana