Profesa Sami Erol  Gelenbe  atunukiwa tuzo la Nobel ulimwengu wa kiislamu

Profesa Sami Erol Gelembe atunukiwa tuzo la Nobel la ulimwengu wa kislamu kwa utafiti wake katika  sayansi ya kompyuta

Profesa Sami Erol  Gelenbe  atunukiwa tuzo la Nobel ulimwengu wa kiislamu

Profesa  mturuki Sami Erol Glenbe ambae pia ni  muhadhiri katika  chuo cha Imperial College mjini London nchini Uingereza  ametunukiwa tuzo la Mustafa ambalo huchukuliwa  na kufafanishwa na tuzo la Nobel  katika ulimwengu wa kiislamu Iran.

Tuzo hilo ametunukiwa Sami kwa utafiti wake aliofanya katika  mfumo wa sayansi ya kompyuta  kwa mfumo wa hesabu.

Sami Erol amepewa kiwango cha pesa 500 000 sarafu za Marekani.

Tuzo la Mustafa huandaliwa kila baada ya miaka miwili.Habari Zinazohusiana