Quran ya zama za utawala wa Ottoman

Quran tukufu tatu zilizochapishwa wakati wa utawala wa Otoman Sultan Abdul Hamid(1876-1908) zimepatikana katika mmoja wa misikiti nchini Palestina.

Quran ya zama za utawala wa Ottoman

Quran tukufu tatu zilizochapishwa wakati wa utawala wa Otoman Sultan Abdul Hamid(1876-1908) zimepatikana katika mmoja wa misikiti nchini Palestina.

Kwa mujibu wa habari,Quran hizo tatu zimepatikana kati ya vitabu vingine vya zamani wakati wa ukarabati wa msikiti huo.

.Quran hizo zinasemekana kuwa ziliandikwa na mkono wa mtu mmoja kwa jina la Seyyid Mustafa Nazif na baadae kupelekwa na kuchapishwa Istanbul kabla ya kusafirishwa Palestina kwa ajili ya kuuzwa.

Quran hizo zimeongeza historia ya msikiti huo na mji mzima kwa ujumla.

Quran hizo pia zitawekwa katika maonyesho tofauti.

 Habari Zinazohusiana