Erdoğan: "Uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalemu hauna lengo la kulinda amani"

Uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalemu unapelekea eneo la Mashariki ya Kati kuzidi kuwa kitovu cha ghasia katika ukanda mzima

Erdoğan: "Uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalemu hauna lengo la kulinda amani"

Uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalemu unapelekea eneo la Mashariki ya Kati kuzidi kuwa kitovu cha ghasia katika ukanda mzima.

Rais Erdoğana asema kuwa uamuzi uliochukuliwa na Donald Trump kuhusu jiji la Jerusalem hauna lengo la kulinda amani bali kuvuruga eneo zima la Mashariki ya Kati.Habari Zinazohusiana