Jerusalem-Mashariki, mji mkuu wa Palestina

Kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papa Francis afanya mazungumzo na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan kuhusu Jerusalem

Jerusalem-Mashariki, mji mkuu wa Palestina

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan afanya mazungumzo kwa njia ya simu na kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papa Farncis kuhusu hatua ya Trump kutambua mji Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Viongozi hoa wamefahamsiaha kuwa kuna umuhimu mkubwa kuucha mji huo kama ulivyo chini ya misingi ya azimio la Umaja wa Mataifa.

Papa Francis na rais Erdoğan wamezungumzia taifa la Palestina litakalo kuwa chini ya mipaka iliowekwa mwaka 1967 na Jerusalem-Mashariki kama mji wake mkuu.Habari Zinazohusiana