Uturuki na Urusi zasaini mkataba kuhusu mfumo wa kujihami na makombora wa S-400

Uturuki na Urusi zasaini mkataba kuhusu mfumo wa kujihami na  makombora wa S-400 mjini Ankara

Uturuki na Urusi zasaini mkataba kuhusu mfumo wa kujihami na makombora wa S-400

Uturuki na Urusi zasaini mkataba kuhusu mfumo wa kujihami na  makombora wa S-400 mjini Ankara

Uturuki yasaini na Urusi mkataba kuhusu mfumo wa anga wa kujihami na makombora wa S-400 mjini Ankara.

Mfumo huo unathamani ya dola bilioni 2,5.

Uturuki imenunua mfumo huo kutoka Urusi miezi iliopita wakati ambapo kulikuwa kukisubiriwa kusainiwa  kwa mkataba kuhusu m fumo huo wa anga wa kujilinda na makombora.

Tagi: Urusi , Uturuki , S-400

Habari Zinazohusiana