Tetemeko la ardhi laikumba Myanmar

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6 limeikumba Myanmar.

Tetemeko la ardhi laikumba Myanmar

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6 limeikumba Myanmar.

Kwa mujibu wa haabri,tetemeko hilo limetokea sehemu ya mbali na makazi ya wananchi.

Kutokana na hilo,haijajulikana kama kuna mtu  aliyepoteza maisha ama uharibifu wa mali uliojitokeza wakati wa tetemeko hilo.

Ripoti zinaonyesha kuwa tetemeko hilo limeenda hadi kina cha kilomita 10.

Baada ya hapo mitetemeko midogo mitano ilifuata.Habari Zinazohusiana