Uturuki na Mtazamo wa Sera za nje

Operesheni ya « Tawi la Mzaituni » na  mfumo wa Ulinzi wa Uturuki

Uturuki na Mtazamo wa Sera za nje

 

 

Uturuki imenzanisha operesheni yake Afrin nchini Syria hdidi ya ugaidi na vitisho vya ugaidi katika mipaka yake. Operesheni hiyo ilipeewa jina la operesheni ya « Tawi la Mzaituni », tutaangazia suala zima la operesheni hiyo katika kipindi chetu Juma hili.

Daktari Cemil Doğaç kutoka katika chuo kikuu cha Atatürk kitengo cha  Ushirikiano wa kimataifa ametufafanulia suala hilo.

  Kiwanda cha silaha cha Uturuki kinajaribu silaha zake  katika operesheni yake Afrin. Silaha za Uturuki zimeonesha mafaanikio makubwa.

Katika miaka ya nyuma jeshi la Uturuki lililazimika kuimarisha sialaha zake katika mfumo wa kisasa kutokana  na hali ambayo inajiri katika mataifa jirani ya Uturuki.

Uturuki haikuwa na budi kuimarisha silaha zake.

Wingi wa vitisho  katika mataifa hayo umeifanya uTuruki kuchukuwa atua. Hali hiyo imeifanya Uturuki  kuongeza ujuzi wake katika kuimarisha mfumo wake wa ulinzi na kukabiliana na adui.

Katika kipindi cha miaka 15 soko la nje la bidhaa kutoka Uturuki  liliongezeka  kwa kiasi cham ara 15. Hali hiyo pia ilipelekea kuongeza uzalishaji  wa nyumbani  wa silaha Uturuki. Mabadiliko makubwa yameshuhudiwa  katika mfumo wa ulinzi na silaha  katika jeshi la Uturuki.

Tangu mwaka 2013 zaidi ya vituo 450 vimeuza silaha katika zaidi ya mashirika 177 katika mataifa tofauti.

Mwaka uliopita  mauzo ya nje  katika sekta ya ulinzi Uturuki  ilikadiriwa kuwa bilioni 2 ikiwemo katika ulinzi wa anga  bilioni 6.  Kiwango cha utegemezi mwaka 2002 kilikuwa asilimia 80 ambapo leo kiwango hicho kimefikia asilimia 35.

Vifaru , makombora  panoja na makombora ya masafa mafupi, ndege zisizokuwa na rubani, meli za kivita na silaha za kudumu. Uzalishaji huo umeifanya Uturuki kuepuka utegemezi.  Ni fursa kwa Uturuki kuongeza ujuzi wake  ili kulinda ardhi yake.

Majirani wabaya  rais Erdoğan amesema kuwa teknolojia  ni uongozi katika  ulinzi na uzalishaji wa silaha

 Habari Zinazohusiana