Magaidi Afrin nchini Syria waonyeshwa

Magaidi wa PKK/PYD Afrin nchini Syria wameonyeshwa.

Magaidi Afrin nchini Syria waonyeshwa

Magaidi wa PKK/PYD Afrin nchini Syria wameonyeshwa.

Jeshi la Uturuki limekuwa likiwashambulia toka kuanze kwa operesheni ya tawi la mzaituni tarehe 20 Januari.

Ni magaidi zaidi ya elfu moja wameangamizwa mpaka sasa.

Uturuki ilianzisha operesheni hiyo kwa lengo la kulinda mipaka yake.

Hata hivyo kundi hilo limekuwa likisaidiwa na Marekani.


Tagi: Afrin , magaidi

Habari Zinazohusiana