"Urusi yavizia uchaguzi wa Marekani"

Maafisa wa juu wa usalama nchini Marekani wamesema kuwa wanaamini mia kwa mia kuwa Urusi inauwinda uchaguzi wa Marekani mwaka huu.

"Urusi yavizia uchaguzi wa Marekani"

Maafisa wa juu wa usalama nchini Marekani wamesema kuwa wanaamini mia kwa mia kuwa Urusi inauwinda uchaguzi wa Marekani mwaka huu.

Kwa mujibu wa habari,maafisa hao wamesema Urusi inaamini ilifanikiwa kuichezea demokrasia ya Marekani baada ya kufanya udukuzi katika kampeni za urais mwaka 2016.

Mkurugenzi wa usalama wa taifa nchini Marekani Dan Coats amesema kuwa Urusi haishindwi kuingilia tena uchaguzi wa mwaka 2018 kama ilivyofanywa hapo awali.

Ameongeza kwa kusema kuwa Marekani ipo katika uvamizi.

Hata hivyo Urusi imekana madai hayo mara kwa mara.Habari Zinazohusiana