Magaidi waendelea kuangamizwa na jeshi la Uturuki Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki lafahamişsha kuwaangamiza magaidi 3524 katika operesheni yake inayoendelea Afrin nchini Syria

Magaidi waendelea kuangamizwa na jeshi la Uturuki Afrin nchini Syria

 

Jeshi la Uturuki lag-fahamisha kuwaangamiza magaidi wapatao 3524 katika operesheni yake dhidi ya ugaidi inayoendelea Afrin nchini Syria.

Makao makuu ya jeshi la Uturuki imetoa tangazo lililofahamisha kuwa magaidi 3524 wa kundi la kşgaidi la PKK/KCK/PYD-YPG wamekwisha angamizwa tangu kuanza kwa operesheni yake dhidi ya ugaidi nchiini Syria.

Operesheni ya Tawi la Mzaituni ilianzishwa Januari 20 kwa lengo la kuwandoa magaidi mipakani mwa Uturuki na Syria na kuhakikisha kuwa usalama unarejea katika eno hilo na raia wake kurejea kwa usalama.

 Habari Zinazohusiana