Mtazamo kuhusu operesheni ya Marekani Syria

Ni yapi malengo ya Marekani kuendesha mashambulizi nchini Syria? Uchambuzi Can Acun kutoka katika kitenngo cha utafiti wa siasa, uchumi na jamii SETA

Mtazamo kuhusu operesheni ya  Marekani  Syria

Ulimwengu mzima uliekeleza macho yake nchini Sytria katika eneo la Ghuta ambalo  lililkuwa likishambuliwa mara kwa mara na jeshi la serikali ya Syria. Hali hiyo ilitokana na mashambulizi ya  silaha za kemikali  yalioendeshwa na katika eneo hilo la  Ghuta Mashariki.

Marekani na washirika wake  walichukuwa uamuzi wa kushambulizi Syria kwa lengo la kusitisha  mashambulizi ya serikali na kuua raia wake.  Mashambulizi ya Marekani na washirika wake waliendesha  mashambulizi hayo Jumamo April 14.

Operesheni ya Marekani na washirika wake Uingereza, Ufaransa  waliendesha mashambulizi hayo ambayo yalionekana kuwa kama  adhabu wa Syria kutoka na mashambulizi yake ya silaha za kemikali yaliendeshwa Ghuta. Kulingana na mjadala   nchini Marekani, Uingereza, Ufaransa ni wazi kuwa rais wa Marekani Donald Trump  alikuwa  akihitaji  operesheni ya kijeshi nchini Syria.

Waziri wa ulinzi wa Marekani Mattis  na idara ya ulinzi ya Marekani ilibidi kuanza operesheni ambayo ingezuia mgogoro na Urusi. Hali halisi inaonesha kuwa  operesheni hiyo ilianzishwa kwa pendekezo la Mattis na idara ya ulinzi ya Marekani.  Operesheni ilioanzishwa kwa ushirikiano baina ya Marekani, Uingereza na Ufaransa ilikuwa ni kushambulia maeneo  ambayo yalikuwa  na ushirikiana na Iran na Urusi kwa kudai kuwa lengo ilikuwa jeshi la  Assad.

Marekani ilifahamisha kuwa haina lengo la kuondoa utawala wa Assad nchini Syria.  Licha ya kuwa Marekani imetumia fursa hiyo kubwa  operesheni hiyo iliendeshwa bila  ya lengo lake kuwekwa wazi. 

Katika kipindi na utawala wa rais Barack Obama eneo muhimu Mashariki ya Kati lilikuwa limeachw chini ya milki ya Urusi na Iran hususan nchini Syria ila kwa sasa inaonekana kuwa  juhudi za kutaka kurejesha eneo hilo na kuliondoa mikononi kwa  mwa Urusi zimeongezeka katika kipindi cha hivi karibuni. Juhudi hizo ni kwa lengo la kudhoofisha ushawishi wa Iran na Urusi katika ukanda.

Vikwazo dhidi ya Iran vilikuwa na umuhimu mkubwa kwa Israel na mataifa ya Ghuba.  Kwa uhakika, ushawishi wa Iran katika ukanda umekuwa haukubaliki  na taifa la Israel, mataifa ya Ghuba na Uturuki. Ulinzi wa mapinduzi na mabadiliko, wafuasi wa Hezbullah na makundi yanayoungwa mkono na Iran wanawapiganaji zaidi ya 60 000 nchini Syria.

Marekani ililenga  kambi muhimu  katika mashambulii yake nchini Syria, tumeshuhudia kuwa operesheni hiyo ilikuwa na malengo muhimu . Wakati wa mashambulizi  ya jeshi la Marekani na washirika wake yakiendelea nchini Syria wakati huo huo jeshi la Isarel lilikuwa likishambulia  mara kwa mara  kambi zilizokuwa zikitumiwa na Iran ikiwemo uwanja wa ndege wa T4.

Jibu la Urusi na Iran kwa mashambulizi yalioendeshwa na jeshi la Marekani na washirika wake Ufaransa na Uingereza litatolewa katika siku zijazo. Serikali ya Assad, makundi ya wapiganaji yanayoy-ungwa mkono na Iran na wapiganaji wakulipwa kutoka Urusi  walijaribu  kuteka maeneo ambayo yana utajiri wa mafuta  yaliokuwa chini ya milki ya wanamagmbo wa kundi la YPG katika eneo la Deir ez-Zor katika miaezi kadhaa iliopita.

Marekani na washirika wake ilijibu haraka mno  dhidi ya jaribio hilo kwa kushambulia wapiganaji waliokuwa wakijielekeza katika eneo hilo kwa makombora na mashambulizi ya anga.

Kutokana na hali hiyo makabiliano makubwa  huende yakatokea katika eneo hilo ambalo lina visima vya mafuta ambavyo pia vipi chini ya milki ya wanamagambo wa YPG. Ifahamike kuwa wakaazi wengi katika eneo hilo ni jamii ya waarabu.

Vyovyote vili itakavyokuwa na jibu la Iran na Urusi, mashambuliz ya silaha za kemikali za jeshi la Assad  limeshtua jumuiya kimataifa. Serikali ambayo inatumia siilaha za kemikali dhdidi ya  raia wake ni jambo ambalo halieleki kwa hali yeyote ile itakyokuwa imetokea.

Kuna umuhimu mkubwa uahlifu wa kifita ulieotendwa na jeshi la Assad , wahusika waadhibiwe mbele ya vyombo vya sheria.  Uturuki imepongeza kuashtakiwa kwa seriakli ya Assad kuhusika na uhalifu huo bali haikuwa ikiunga mkono mgogoro baina ya Urusi na Marekani.  Uturuki inatarji kuwa mpatanishi na ndio mtazamo ambao kwa sasa unaoonekana baina ya Urusi na Marekani kuhusu mzozo wa Syria. 

Mazungumzo ya kidiplomasia baina ya Urusi na Marekani pia ya kijeshi yameongozwa na Uturuki. Urusi haikujibiza moja Kwa moja wakati Marekani ilianza kushambulia vikos vyake.

Tukitazama amande wa teknolojia y'a kisasa katika jeshi n'a ulinzi, ni jambo la kushangaza kuona Kuwa hakuna jibu la kijeshi kutoka Urusi.

Je?Urusi itashambulia wanamgambo wa YpG nchini Syria baada ya Marekani kushambulia Syria?

Uchambuzi  Can Acun kutoka katika  kitenngo cha utafiti wa siasa, uchumi na jamii SETA


Tagi: Marekani , Syria

Habari Zinazohusiana