Gazeti la "Daily News" lamuita Ivanka Trump mchawi

Ivanka Trump,binti wa rais Donald Trump ameitwa mchawi katika habari iliyoandikwa na gazeti la Marekani la "Daily News"

ivanka trump kudus1.jpg

Ivanka Trump,binti wa rais Donald Trump ameitwa mchawi katika habari iliyoandikwa na gazeti la Marekani la "Daily News".

"Father's little witch",ndivyo jinsi Ivanka alivyozungumziwa katika gazeti hilo.

Hii ni baada ya Ivanka kuonekana akicheka mwanzo mwisho wa sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani Jerusalemu huku Wapalestina wakiwa wanauawa.

Alionyesha kuwa na furaha huku raia wa Palestina wakiwa wanauawa na jeshi la Israel wakati wa sherehe hizo.

Trump alimtuma mwanae amwakilishe katika sherehe hizo.Habari Zinazohusiana