Rais Erdoğan azungumza na Mfalme wa Saudi Arabia

Rais Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na mfalme wa Saudi Arabia Selman bin Abdulaziz Al Saud.

Rais Erdoğan azungumza na Mfalme wa Saudi Arabia

Rais Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na mfalme wa Saudi Arabia Selman bin Abdulaziz Al Saud.

Katika mazungumzo hayo,viongozi hao wawili wamejadili kuhusu Palestina na mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel.

Idadi ya Wapalestina waliouawa na jeshi la Israel wakati wa ufunguzi wa ubalozi wa Marekani Jerusalem imefikia 62.

Mazungumzo hayo yalimshirikisha pia Emir wa Kuwaiti Sheikh Sabah al-Ahmad al-Cabir Sabah,Rais wa Palestina Mahmoud Abbas, Mfalme Abdullah wa Jordan na Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad.

 Habari Zinazohusiana