Putin:Uturuki ina haki ya kuchagua ndege zake za kivita

Rais wa Urusi,Vladimir Putin amesema kuwa Uturuki ina haki ya kuchagua ndege ya kivita inayoitaka.

Putin:Uturuki ina haki ya kuchagua ndege zake za kivita

Rais wa Urusi,Vladimir Putin amesema kuwa Uturuki ina haki ya kuchagua ndege ya kivita inayoitaka.

Hayo rais Putin ameyazungumza wakati wa kujadili ununuzi wa makombora ya kujihami wa Ankara kutoka Urusi.

"Kama mwanachama wa NATO Uturuki imeamua kununua kombora lenye ubora la S-400 kutoka Urusi",alisema Putin.

Makombora hayo yanatarajia kumalizika kati ya 2019-2020.

Putin anaamini wale wanaopinga ununuzi huo hawatendi haki.

Tagi: S-400 , Urusi , Uturuki

Habari Zinazohusiana