Harakati za mwisho za Uturuki nchini Syria

Uchambuzi kutoka katika kitengo cha utafiti  wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA Can Acun

Harakati za mwisho za Uturuki nchini Syria

Harakati  za Astana ambazo ziliundwa kwa ajili ya  kutatua mzozo wa Syria . Harakati hizo zilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa  amani  inarejea  katika taifa hilo. Eneo la Idlib  limepewa kipaumbele baada ya  jeshi la  Syria, Urusi na Iran kuonekana kuzidisha  mashambulizi  na kuchukuwa eneo hilo.

Baada ya kutio hilo Uturuki , Urusi na Iran  zilichukuwa uamuzi wa kufanya mazungumzo  ili kuhakikisha kuwa  amani inarejea.

Tofauti na  maeneo ambayo kulisainiwa kusitishwa kwa mapigano, Idlib  ni eneo ambalo linapatikana mpakani mwa Uturuki na Syria.  Kutokana na eneo hilo kuwa mpakani na Uturuki , Uturuki imelazimika  kutuo mchango wake.

Kwa upande mwingine, wapinzani wa serikali ya Syria ambao  walikuwa wamezingirwa , waasi hao  waliweka katika eneo hilo wakati wa operesheni ya Efratia ilipokuwa ikiendelea . Eneo hilo la Idlib ni ngome  ya wapinzani wa serikali  ya Syria. 

Katika eneo hilo jimbo la Idlib Uturuki imeweka maeneo 12 ya kutachunga usalama.  Urusi ina maeneo 10 huku Iran ikiwa na maeneo 7. Mataifa   hayo yanatofauti yana na  mataifa mengine nchini Syria.  Kwa kiasi kikubwa mapigano katika eneo hilo yamepunguwa.

 Maeneo hayo ambayo Uturuki imefungua vituo vyhake vya kulinda usalama  yanezuia jeshi la serikali kushambulia wapinzani hao ambao serikali ya Syria inawayambua kuwa kama ni waasi.

Vituo hivyo vya jeshi la Uturuki   katika eneo hilo vimepelekea ugumu kwa jeshi la serikali kuendesha operesheni zake dhidi ya waasi hao. Kwa upande mwingine  Uturuki  imepelekea kuzui mashambulizi ya jeshi la seirkali dhidi ya wapinzani hao  katika eneo la mipaka yake na Syria matika eneo ambalo waasi walikuwa wameweka  ngome zao.

 Kwa upande mwingine uwepo wa Uturuki  katika eneo hilo  unazuia mashambulizi ya jeshi la serikali.

Wkati jeshi la Uturuki lilikuwa katika harakati zake za kupeleka vikosi vyake ,  gari moja la jeshi liliathirika baada ya kulipukiwa ma bomu lililokuwa limetegwa ardhini. Magaidi waliacha wakitega mabomu ardhini baada ya kuondoaka , Msafari wa jeshi la Uturuki ulikuwa ukşjipata katika maeneo ambayo magaidi walikuwa wameacha wametega mabomu.

 Mashambulizi kutoka katika makundi ya kishia ambayo yanaungwa mkono na Iran  yalikuwa yakilenga jeshi la Uturuki kwa lengo la kuzuia  jeshi la Uturuki  kufikia malengo yake.

 Jeshi la Uturuki katika eneo hilo ni kuzuia na kustisha mapigano moja kwa moja. Uturuki imefahamisha kuwa  malengo yake  ni kuhakikisha kuwa  amani inarejea katika ukanda .

 Mazungumzo ya Astana  ni wazi kuwa  katika juhudi za kuhakikisha kuwa  upinzani na serikali ya Syria wanapatia  fursa amani kurejea nchini Syria. Mazungumzo ya amani kuhusu Syria yaliandaliwa mjini Astana baada ya kuonekana kuwa raia wasiokuwa na atia wakifariki. Kulikuwa na umuhimu mkubwa  kuanza mazungumzo ni kukomesha hali  ya mauaji inayoendelea   Syria. Hali hiyo haina maslahi kwa Syria  bali kwa waliokuwa na malengo ambayo hufikia mafaanikio  kutokana na kuwa amani Syria bado ni kitendawili.

Kuondoa vitisho na ugaişidi wa kundi la kigaidi la Daesh  Uturuki iliendesha operesheni ya Efratia baada ya operesheni hiyo iliendelea na operesheni  dhidi ya ugaidi katika jimbo la Afrin. Operesheni hioy ilikuwa ikiwalenga magaidi wa kundi la PKK/YPG . Opereshini hiyo ilipewa jina la opereshi ya Tawi la Mzaituni.

 Jeshi la Uturuki lilishirikiana na baadhi ya makundi ambayo serikali ya Syria inayatambua kuwa ni makundi  ya kigaidi katika kupambana na kundi la PKK. Uturuki katika operesheni hiyo haikuwa na lengo la  kukalia kimabavu ardhi isiokuwa milki yake bali kuwaondoa magaidi  katika eneo hilo la mpakani mwake na Syria.

Mapambano dhidi ya ugaidi yataendelea kwa kuwa malengo ya Uturuki ni kurejesha amanai na kuondoa  vitisho vua ugaidi katika mipaka yake na kuhakikisha kuwa   usalama katika eneo hilo la mpakani.

Baada ya Uturuki kuendesha operesheni ya Efratia, mashambulizi na vitisho vya kundi la kigaidi la Daesh vimepungua kwa kiasi kikubwa  katika ardhi ya Uturuki.

 Operesheni ya Tawi la Mzaituni nayo imepelekea kuondoa  vitisho na mashambulizi ya kundi la kigaidi la PKK Hatay na katika eneo la milma ya Amanos.

Wakati huo huo jeshi la Uturuki linaendelea na mapambano dhidi ya  ugaid katika maeneo tofauti.

Miongoni mwa operesheni ambazo zinaendelea ni operesheni  inayofanyika nchşnş Irak. Operesheni hiyo ni  pamoja na operesheni i naoendelea Kaskazini mwa  Syria  kwa lengo la kuwaondoa magaidi ya PKK/YPG Kaskazini mwa Syria.

 Uturuki  katika mapambano yake dhidi ya ugaidi  na washirika wa Marekani wa kundi la YPG  Uturuki imedhamiria kukabialiana wanamgambo wa kundi hilo waliokuwa wakipewa usaidizi kutoka  Marekani kwa kizingishio kuwa ni washirika katika kupambana na kundi la kşgaidi a Daesh.

Mazungumzo bain aya Marekani na Uturuki kuhusu kundi la YPG ambalo ni tawi la kundi la kİgaidi la PKK na hali ya Manbij bado yanaendelea . Wakati Marekani ilichukuwa uongozi wa jimbo la Manbij haikuheshimu  ahadi yake  kuhusu kundi la YPG. Marekani iliendelea kutoa msaada na kuwalindia usalama wanamgambo wa kundi hilo la kigaidi.

Hali hiyo ilipelekea mzozo wa kidiplomasia bain aya Uturuki na  washirika wake  katika jeshi la kujihami la Magharibi la NATO.

Katika ziara yake  n chini Uturuki Rex Tillerson, alijielekeza nchini Uturuki kwa lengo la kuzungumzia suala zima la Manbij.  Katika mazungumzo hayo  Uturuki na Marekani waliaafikia kuhusu suala hilo.

 Baada ya hapo ilishuhudiwa kuwa rais wa Marekani Donald Trump alimfuta kazi Tillerson na kumteua Mike Pompeo katika nafasi hiyo.

Mazungumzo yalisitishwa kwa muda.   Kulingana na taarifa zizlitolewa na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu siku kadhaa  , mataifa hayo mawili ikiwa Marekani na Uturuki  walikuwa wameafikiana kutatua tofauti zilizokuepo kuhusu  suala zima la Manbij.

 Taarifa kamili kuhusu   mpango unoatarajiwa  unakaribia katika siku  chache zijazo.

Kulingana pia na taarifa zizlizotolewa  baada ya waziri wa ammbo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu kutoa tamko kuhusu suala hilo, magaidi wa kundi la YPG  walianza kuondoka  aua kuanza harakati za kuondoka  katika eneo hilo.

Katika makubalaino bain aya Uturuki na Marekani, wanamagmbo wa YPG walitakiwa kuondoaka  Manbij na Mashariki mwa Efratia wakati huo huo Marekani na Uturuki  watahusika na kulinda usalama katika ukanda  na kuafikiana kuhusu jeshi la Polisi Manbij.

Licha ya kuwa na mabadiliko  bain aya Uturuki na Marekanş kuhusu Manbij, uwepo wa magaidi wa kundi la YPG   Mashariki mwa Efratia, mgogoro bain aya mataifa hayo unaonekana kuwa hautokuwa na  muafaka hivi karibuni kuhusu Syria.

Uturuki na Marekani zinashirikiana Manbij na kuimarisha  kupeana taarifa na mipango.

Mataifa hayo mawili kuafikiana Manbij  yanaweza pia kuafikiana kuhusu maeneo mengine Syria.

Uchambuzi kutoka katika kitengo cha utafiti  wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA Can Acun


Tagi: PKK , Syria , Afrin , Uturuki

Habari Zinazohusiana