Sauti ya muziki huathiri aina ya chakula kinachoagizwa mahotelini

Utafiti umeonyesha kuwa sauti ya muziki huathiri aina ya chakula ambacho huagizwa katika migahawa.

Sauti ya muziki huathiri aina ya chakula kinachoagizwa mahotelini

Utafiti umeonyesha kuwa sauti ya muziki huathiri aina ya chakula ambacho huagizwa katika migahawa.

Katika utafiti uliofanywa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Florida,imeonekana kuwa wateja hupendelea kuagiza vyakula kama kachumbari na vile visvyokuwa na mafuta pale muziki wenye sauti ndogo unapopigwa.

Na pale muziki wenye sauti kubwa unapopigwabasi vyakula kama burger na chips huagizwa kwa wingi.

Utafiti huo umefanywa katika moja ya mgahawa nchini Sweden.

Tagi: chakula , muziki

Habari Zinazohusiana