Makubaliano kuhusu Manbij baina ya Uturuki na Marekani

Uchambuzi kutoka kwa Can ACUN katika shirika la utafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumi na jamii SETA

Makubaliano kuhusu Manbij baina ya Uturuki na Marekani

Mizozo bain aya Uturuki na Marekani inasababishwa na  sababu tofauti katika kipindi cha miaka kadhaa iliopita.  Moja ya sababu ambazo zinapelekea Uturuki na Marekani lkuwa katika hali ya vuta ni kuvute ni Marekani kuonekana kuwa haina mpango wa kumrejesha kiongozi wa kundi la FETÖ Fetullah Gülen  nchini Uturuki.

Uturuki inamtuhumu moja kwa moja kiongozi wa  kundi hilo kuhusika moja kwa moja  kuhusika na jaribio la mapinduzi  Uturuki, vile vile Uturuki  inafahamisha  kuwa sababu nyingine ni  ushirikiano  uliopo bain aya Marekani na kundi la kigaidi la  YPG ambalo ni tawi la kundi la kigaidi la PKK. Changamoto hizo ndizo ambazo zinapalekea  Marekani na Uturuki  kuwa katika hali isiokuwa ya kawaida.

Maenea 12 ya jeshi la Uturuki yalifunguliwa kama vituo vya ulinzi na jeshi la Uturuki Idlib ni baada ya maafikiano ya Astana.  Kitendo cha jeshi la Uturuki kuweza kusafisha eneo  ambalo lilikuwa likikaliwa na wanamagmbo wa kundi la YPG katika operesheni yake dhidi ya ugaidi iliojulikana kwa jina la Tawi la Mzaituni, sasa imipa Uturuki  kuweza kuzungumzia Manbij.

Mwanzoni mwa  mapinduzi ya Syria, Manbij  ilikuwa ikimilikuwa na jeshi huru la Syria kabla ya kuchukuliwa na wanamgambo wa Daesh mwa a2014.

Mwaka 2016 jeshi la ushirika ambalo lililkuwa likoşngozwa na jeshi la Marekani lilianzisha operesheni ambayo iliwashirikisha wanajeshiwa jeshi huru la demokrasia Syria, wanamgambo wa kundi la YPG.  Baada ya  Uturuki kuitahadharisha    Marekani kuhusu wanamagmbo wa kundi la YPG, Marekani ilitoa hadi kuwa baada ya Manbij kusafishwa na kuonfdolewa vitisho vya wanamgambo wa Daesh,, wanamagmbo wa kundi la YPG  walirejea katika eneo la Mashariki mwa Efratia kwa lengo la kuwapa nafasi wapiganjai wa kiarabu.

Licha ya matamshi  ya  ziongozi wa Marekani kuhusu kundi la YPG kuhusu kuondoka Manbij, wanamgambo wa kundi hilo walisalia katika eneo hilo. 

Jeshi la Marekani katika baraza şla Manbij  lipo kama  kwa kulindia ulinzi kundi la wanamgambo wa YPG.  Baraza la jeshi ka Manbij ambalo lnaongozwa na Mazlum na Ismail Derik, viongozi hao waliteuliwa moja kwa moja na PKK  Manbij.  Waandishi wa habari katika eneo hilo wanafahamisha kuwa wanmagmbo wa kundi la PKK/YPG wanafanya propaganda  kufunza fikra zao katika shule zinazoparikana katika eneo hilo.

Moja ya asababu za kulpa nguvu jesh la Uturuki Manbij ni raia ambao wameomnnesha kukerwa na wanamagmbo au uwepo wa wanamgambo wa kundi la YPG katika eneo hilo.  Raia wanaoondoka katika eneo hilo wanaokopa unyanyasaji wa wanamgambo wa YPG na kukimbilia katika amaeneo ambyo wanapata hifadhi. Hifadhi hiyo imepatikana baada ya jeshi la Uturuk.

kuendesha operesheni yake ya Efratia.  Makabila tofauti Manbij wameandamana mara kadhaa kupinga wanamagmbo wa kundi hilo kuwasajili vijana wao katika  kikosi cha kundi hilo la kigaidi la YPG. 

Kundi la al Qiyyam linapatikana Manbij na ni kund ambalo huwashambulia anmagambo wa kundi la YPG. Kundi hilo lililundwa Manbij na hapo ndio lilipo anza shambulizi lake la kwanza.   Harakati na mataarisho ya jeshi al Uturuki kuhusu Manbij baada ya operesheni ya Tawi la Mzaituni imepelekea mazungumzo ya kidiplomasia kuweza kupiga atua baina ya viongozi wa Marekani na viongozi wa Uturuki.

Ushirikiano baina ya Uturuki na Marekani ulianza  na kuzidi kuimarika baada ya ziara ya Rex Tillerson  kwa lengo la kuafikiana kuhusu suala zima la Manbij. 

Lişcha ya kuwa hali hiyo iliweza kupata misukosuko kutukana na kupigwa kalamu Rex Tillerson, mazungumzo yameendelea baada ya kuteuliwa Mike Pompeo. Mazungumzo baina ya Uturuki na Marekani ikiwa yote ni mataifa wanachama wa NATO, mazungumzo yalikuwa na vipengele na atua tatu muhimu. 

Kwa mujibu wa makubaliano  wanamgambo wa YPG wataondoka  katika eneo la Mnbij na Marekanş kwa ushirikiano na Uturuki  watachukuwa hatamu katika eneo hilo kwa kulinda usalama na uongozi kukabidhiwa mamlaka katika eneo hilo.

Mazungumzo na makubaliano baina ya Uturuki na Marekani kuhusu Manbij yanaweza kulifanya eneoo hilo kuwa  na utulivu kwa kuwa mvuatano uliokuepo  utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa na ni jambo muhimu kwa matafa washirika wa jeshi la kujihami ka Magharibi wa NATO.

Ila katika makubaliano hayo kuna vipengele ambavyo itakuwa vizuizi katika ushirikiano baina ya Uturuki na Marekani. 

Iwapo makubaliano hayo hayatoheshimishwa, wanamgambo wa kundi la YPG kama hawatoondoka, ushirikiano baina ya Marekani na Uturuki utakuwa pia umeigiwa na dosari na mzozo aua mvutano wa  kidilomasia utakuwa ukşendelea kwa sura nyingine ambao chanzo chake kinatambulika. 

Ufafanuzi kuhusu makundi ya kigaifi na watu ambao watakuwa na ushirikiano na wanamagmbo wa kundi la PKK/YPG utkuwa na umuhimu mkubwa na kupewa  suluhisho.

Kwa mfano  baraza la jeshi la mnbi  linadiwa kuwa huru kama inavyofahamishwa na Marekani, na lengo lake linalenga Kandil. 

Tatizo jingine ni uwepo wa wanamagmbo wa YPG Mashariki mwa Efratia. Kwa mujibu wa Uturuki makubaliano kuhusu Manbij yanatakiwa kuheshimishwa katika maeneo yote ambayo  yamekaliwa na wanamgambo wa YPG. 

Uwepo wa wanamagmbo wa YPG Mshariki wa Efratia  ni tishio kwa usalama wa Uturuki.  Marekani inaweza  kuweka kipingamizi kuhusu suala hilo Manbij Msahririki mwa Efratia.  Marekani inaweza kuweka kipingamizi kwa kuwa eneo hilo ambalo limekaliwa na wamgambo wa kundi hilo lina utajiri wa  mafuta  Mashariki mwa Syria.

Licha ya kuwa mazungumzo na makubaliano hayo  yanaongozwa na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki mevlüt Çavuşoğlu, Mike Pompeo amechukulia hali hiyo kama  fursa  ya ushirikiano baina ya Uturuki na Marekani.

Uchambuzi kutoka kwa Can ACUN katika shirika la  utafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumi na  jamii SETA

 

 Habari Zinazohusiana