Raia mwema  nchini Syria ahudumia paka Aleppo

Raia mwema  nchini Syria ahudumia paka Aleppo waliotelekezwa kufuatia mashambulizi ya jeshi la Assad

Raia mwema  nchini Syria ahudumia paka Aleppo

 

Raia mwemo katika eneo la Rif Mashariki awahudumia paka  waliokuwa na wenyenao Aleppo nchini Syria

Raia mwema katika eneo la Rif Mashariki  katika mkoa wa Aleppo nchini Syria amejitolea kuwahudumia kapa wasikuwa na mwenyenao ambao huwa wakirandaranda mabarabarani.

Baada ya kupewa msaada na  mtaalamu wa tiba za maradhi ya wanyama, Jalil sasa ana uwezo wa kuhudumia paka zaidi ya 100.

Alaa Jalil ni raia mwema katika eneo la Rif katika mkoa wa Aleppo  amesema kuwa amechukuwa uamuzi huo wa kuwahudia paka hao baada ya wamiliki wao kulazimika kuondoka katika makaazi yao na kuwatelekeza paka wao kufuatia mashambulizi ya jeshi la serikali ya Assad Aleppo.Habari Zinazohusiana