Ramadhani mpya na kutatuliwa kwa mizozo kwa mchango wa Uturuki

Ramadhani mpya na kutatuliwa kwa mizozo kwa mchango wa Uturuki

Ramadhani mpya na kutatuliwa kwa mizozo kwa mchango wa Uturuki

Katika kipindi cha hivi karibuni tunashuhudia migogoro na mizozo ambayo inaendelea utokana na sababu tofauti  ikiwemo  sababu za kigaidi, hali kutokuwa shwari katia maeneo tofauti, vile vile tunashuhudia  migogoro ya ndani.

Hali hiyo ina umuhimu mkubwa kuombewa  kutokana na mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunashuhudia maafa katika Ukanda wa Gaza na majeruhi na meneo mengine ulimwenguni.

Kuundwa kwa taif a la Israel maenefu ya wapalestina walilazimika kuondoka katika makaazi yao na lilikua jambo lisiloridhisha hata mara moja, wapalestina huadhimisha siku hiyo kama  siku ya hudhuni na  na janga kubwa. Wapalestina wamekuwa wakimbizi wa ndani katika taifa lao wakiwa  chini ya mamlaka ya mabepari ambao huwapangia sheria.

Jiji la Yerusalemu

Jiji la Yerusalmu linatambulika mkama kitovu cha imani zote kubwa ulimwnguni  na baba wa imani Ibrahim katika karne na mikaka iliopita katika historia. Jiji la Yerusalmu kufuatia hali yake hiyo na upekee wake  imekuwa ni jiji ambalo halina  historia inayoshabihiya nalo.

Yerusalemu ni mji wa kipekee. Jambo hilo lingeufanya mji huo kutokuwa mji mkuu wa taifa lolote lile na na kuhamishwa kwa balozi katika mji huo.

Mji huo ungekuwa ukiheshimiwa kama mji mtakatifu kutokana na historia. Makubalaino ya mwaka 1947 na kipengele chake cha 181, mji wa Yerusalmu ulikabidhiwa mamlaka yake  Umoja wa Mtaşfa na kutambuliwa kuwa upo chini ya mamlaka ya Umoja wa Mataifa.

 Kuundwa kwa taifa la Israel mwaka 1948, Israel ilikaliwa kimabavu eneo la Magharibi mwa Jerusalemu mwaka 1967  na vita vya siku 6 vilipelekea eneo la Yerusalemu –Mashariki kukaliwa kimabavu.

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa  kuhusu mzozo wa Mashariki ya Kati madha kadhaa kumesainiwa makubaliano kuhusu amani katika ukanda.  Msuada wa 242 kwa lengo la kutakau kuimarisha amnai katika eneo hilo, Israel  ilitakiwa kuondoka katika amaeneo ambayo ilikalia kimabavu  tangu mwaka 1967.

Israel katka harakati zake za kukalia kimabavu maneo ya wapalestina  katika baraza lake la bunge imetangaza kuwa jiji la Yerusalmu ni mji mkuu wa Israel na mji ambao hautogawika mara mbili. Jiji la Yerusalamu liltangazwa kuwa mji mkuu wa Israel mwaka 1980 bila ya kujali makubaliano ya Umoja wa Mtaifa kuhusu Yeruslamu.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikemea uamuzi huo katika  kipengele chake nambari katika azimio la 478. Washirika wa Israel walitolewa wito wa kuhamisha ofisi zao katika jiji Yerusalmu kutoka Tel Aviv.   Mataifa kama Bolivia, Panama, Jamhuri ya Dominika, Ekweta, Guatemala, Haiti, Uholanzi, Colombia, Panama , Chili , Urugwai na Venezuelea yalianza kuhamisha baloz zao mjini Tel Aviv.

Mwaka 2006  Costa Rica iliondoa ubalozi wake Yerusalmu na kuhamia kwa mara nyingine Tel Aviv na El Salvador kufanya vivo hivyo.

Marekani inawajibikaje kuhusu suala hilo ?

Mwaka 1995 baraza la kongres  la Marekani lilizungumzzia suala zma la mji wa Yerusalemu na kipengele cha azimio nambari 478. Umoja wa Mtaifa limefahamisha kuwa Yerusalamu itakuwa chini mamlaka yake kutokana na  umuhimu wake katika  historia na imani kubwa ulimwenguni. Yerusalemu kuwa mji mkuu wa Israel ni jambo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa likiibua mgogoro.  Mataifa washirika ua mataifa ambayo yalikuwa na balozi zake Tel Aviv hayakuweza kuhamisha balozi zao Yerusalmu  hata baada ya kutolewa wito na Israel. Sheria iliokuwa imewekwa kuhusu Yerusalemu ilifutwa mwaka 1995.

 Sheria kuhus jiji la Yerusalamu iliwekwa mwaka 1999. Mazungumzo  kuhuus mzozo bain aya Israel na Palestina  yalifanyika  mara kwa mara katika kipindi hicho bila ya kupatikana suluhu. Mazungumzo yalikuwa yakifanyika na kuahirishwa bila ya ufumbuzi.

 Baada ya makubaliano ya Balfour Disemba 6 mwaka 2017 kuliadhimishwa miaka 100. Makubaliano hayo yalitoa eneo kwa wayahudi katika ardhi ya utawala wa dola ya Ottoman . Rais wa Marekani Donald Trump  alichukuwa uamuzi wa kuutambua na kuutangaza mji wa Yerusaşmu kuwa mji mkuu wa Israel na kutangaza kuwa  ubalozi wa Marekani utahamishwa kutoka Tel Aviv na kuhamia Yerusalemu.

 Uamuzi huo wa rais wa Marekani umekuwa uamuzi wa kihistoria na uamuzi ambao unatabiriwa kuwa na athari kubwa katika eneo zima la Mashariki ya Kati. Uamuzi huo umevuruga juhudi za mazungumzo ya amani bain aya Israel na Palestina.

Hali hiyo ilionekana kuwa juhudi za Israel kuendelea kukalia ardhi ya wapalestina zilikuwa zikiendelea kawa kasi kubwa. Na sasa imeonekena kupuuza makubaliano ya kimataifa kuhusu mji wa Yerusalemu.

Uamuzi wa Marekani kutangaza kuamisha ubalozi wake na kuchukuwa uamuzi huo  ni jambo ambalo katika diplomasia na hali liopo Mashariki ya Kati kuwa  haikuwa wakti muafaka wa kuchukuwa uamuzi ambao utapelekea mgogoro kuzidi kukita mizizi yake.

 Licha ya kuwa na vikwazo, ukuta unaogawa wapalestina , kuakliwa kimabavu ardhi ya wapelestina na dhulama wanaoyotendewa wapalestina ni  ambo ambalo  lina madhara makubwa kwa wapalestina. Wapalestina wengi wamelazimika  kuyahama mkaazi yao.

Wapalestina  wameuawa na jeshi la Israel tangu kuundwa kwa tafa la Israel, wapalestina wamelazimika  kuondoka katika makaazi yao. Wpalestina   walitoa jina la « janga kubwa » siku ya maadhimishwa ya kumbukumbu ya  kuundwa kwa taifa la Isarel. Miaka 70 iliopita kuliundwa taifa la Israel katika ardhi ya wapalestina.

Uturuki kujaribu suluhu  la mzozo wa Mashariki ya Kati

Uturuki imeshika bendera  kwa lengo la kutafuta suluhu kunako mzozo wa Mashariki ya Kati ambao umechukuwa miaka mingi katika historia.

Kuliandaliwa mkutano wa mataifa ya muu ngano wa kiislamu Mei 18 mwaka 2018 kwa mualiko rais  wakati ambapo Uturuki ilikuwa ikiongoza  muungano huo.

Mkutano huo uliofanyika mjini İstanbul  ulizungumzia ulimwenguni kote kutokana na umuhimu wake. Mkutano huo ulikemea mwenendo wa Israel dhidi ya makubaliano ya kimataifa  kuhusu Yerusalemu.

Wawakilishi kutoka katika mataifa tofauti  ua muungano wa kiislamu yaliafkiana kuhusu suala hilo na kukemea Israel kukiunka makubaliano ambayo yanaulinda mji wa YerusalemuKipindi Marseille Balozi Necdet Kent wa Ufaransa, na Wayahudi wengi walioishi katika Nazi walichukuliwa na kutumwa kwenye kambi za mateso Ujerumani na hivyo kumsababisha Marseille ajichukue uhai wake mwenyewe ili kuwaokoa watu kutoka katika ukandamizaji.

 Kwa mara nyingine, aliyekuwa balozi mkuu wa Uturuki kipindi hicho Schindler pia alijulikana kama Selahattin Ülkümen, kwa kuzingatia kuibuka kwa mgogoro kati ya Uturuki na Ujerumani, balozi huyo alijaribu kuchukuliwa kwenye kambi za mateso kutoka kisiwa cha Rhodes katika mikononi mwa Wayahudi kuelekea Ujerumani. Tunapoangalia mifano hii katika historia ya Uturuki ,juhudi za nchi hiyo zinaweza kueleweka.

Uturuki, yenyewe ni sehemu muhimu iliyochangia jitihada za kufikia amani na utulivu katika eneo ambalo huonekana kama fursa ya kihistoria lenye kuzingatiwa.

Eneo hilo ambalo ni kiini cha mgogoro ni eneo ambalo limekuwa katika utawala wa Ottoman kwa muda wa miaka 400 na limewezesha watu kutoka katika dini na kabila tofauti kukaa katika himaya hiyo kwa amani na utulivu kwa muda wote huo.

Uturuki tofauti na nchi nyingin haitizami maslahi yake binafsi kinyume chaje imefungua mipaka kwa watu wengi ulimwenguni .Hivyo huwezi kuiweka Uturuki katika nchi binafsi.Ina matarajio ya kutekeleza malengo takriban milioni 80 ya kimataifa ili kuleta mabadiliko duniani.Tukitizama Myanmar na Bangladesh tunaona kabisa jinsi Uturuki ilivyojitahidi kutoa msaada mkubwa kwa waathirka wa majanga hayo.

Uturuki ilikimbia kuwasaidia waislamu wa Rohingya wakati wa matatizo yao.Rais wa Uturuki alituma hadi familia yake katika kambi za wakimbizi wa Myanmar nchini Bangladesh kuwaonyesha kwamba Uturuki haijawaacha nyuma.

Rais wa Uturuki anajaribu sana kutatua kidiplomasia matatizo na migogoro ya kibinadamu duniani.Shirika la TİKA la Uturuki limekuwa likitoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa wakimbizi Bangladesh na msaada huo unaendelea kutolewa kila siku.

Uturuki imetembea zaidi ya kilomita 5500 kuhakikisha inatoa msaada.Nchi yenye kujali maslahi yake peke yake haiwezi kujishughulisha kiasi hicho.

 Mahusiano kati ya Uturuki-Israel

Mahusino ya kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Uturuki na Israel yamechangia katika juhudi za kuleta amani na utulivu .Lichaya vita na mvutano wa  Israel kuendeleza mahusiano bora kati ya Israel na Uturuki kuzuia kutengwa kwa Israel .

Kila kunapotokea mgogoro kati ya Palestna na Israel,uhusano wa kidiplomasia kati ya Israel na Uturuki unazidi kuharibika.Uturuki ikijali msimamo wa kibiinadamu imekuwa ikikataa rufaa mara kwa mara kwa serikali ya Israel na jambo hilo limeathiri mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili.

Baada ya matukio ya hivi karibuni ya Gaza kuondoleana kwa mabalozi kati ya Israel na Uturuki kutakuwa ni moja ya hatua muhimu.

Lakini kwa muda mrefu mgogoro na vikwazo dhidi ya Israel umekuwa ukiwaathiri moja kwa moja wapalestina.Baada ya miaka sita ya mvutano na mashambulizi Marmara kumekuwa na makubaliano kati ya pande mbili na uteuzi mpya wa mabalozi ili kuwezesha kusafiri kwa Uturuki kuchangia katika suala la Umiliki nchini Palestina.

Ukiangalia haileti mantiki kuwa na mahusiano mabaya ya kidiplomasia na israel kwa sasa kwasababu ikiwa hivyo itakuwa ni vigumu sana kwa Uturuki kufikisha msaada wake kwa Palestina.Yerusalemu imezzingirwa,Gaza imezingirwa na vilevile eneo la West Bank limezingirwa na majeshi ya Israel.

Kila kitu kwa sasa kipo chini ya himaya ya WaIsrael kwa hiyo ili kuweza kutatua mgogoro wa Wapalestina ni vyema Uturuki ikaendeleza mahusiano yake ya kidiplomasia na Israel.Uturuki inaamini Yerusalemu linapaswa kuwa eneo ambapo kila mtu atakuwa na amani ya kuishi.

Taasisi tofauti za Uturuki na mashirika ya kutoa msaada kama TİKA nayo yanazingatia na kuraitibu hatua hii.

Serikali ya Israeli lazima sasa isikilize sauti ya jumuiya ya kimataifa na kuacha mateso na mauaji haya ya Wapalestina, hata kama haijafanya hivyo mpaka sasa. Wawakilishi wa taifa ambao wamekuwa wakiongozwa na uhamisho katika siku za nyuma hawapaswi kuishi sawa sawa na wengine ambao waliteseka katika siku za nyuma.

Kwa upande mwingine, haipaswi kuwezekana tena kuchukua nafasi ya "mratibu" kwa nchi inayozidisha mgogoro huo,inayochochochea na kuvuruga amani na utulivu katika kanda. Amani inahitajika Yerusalemu,eneo ambalo limepigania amani kwa miaka 100 sasa.

Waumni wa imani tofauti wanapashwa kuishi kwa amani na Utulivu katika eneo hilo kama ilivyokuwa zamani.

Taasisi tofauti za Uturuki na mashirika ya kutoa msaada kama TİKA nayo yanazingatia na kuraitibu hatua hii.

Serikali ya Israeli lazima sasa isikilize sauti ya jumuiya ya kimataifa na kuacha mateso na mauaji haya ya Wapalestina, hata kama haijafanya hivyo mpaka sasa. Wawakilishi wa taifa ambao wamekuwa wakiongozwa na uhamisho katika siku za nyuma hawapaswi kuishi sawa sawa na wengine ambao waliteseka katika siku za nyuma.

Hakuna shaka kuwa amani itatokea kila mahali ambapo watu wanaweza kuhamia kwa uhuru na kwa usalama na ambapo biashara itafufuliwa.Shirika la TİKA linasaidia katika maendeleo ya sasa ya kiuchumi katika maeneo inayotembelea, kuimarisha miundombinu yake, na kulinda mazingira ya amani na utulivu.Hilo ndilo dhumuni letu na hakuna zaidi ya hapo.Habari Zinazohusiana