Malaysia yaiomba mkopo Japan

Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad amemuomba mkopo waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe.

Malaysia yaiomba mkopo Japan

Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad amemuomba mkopo waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe.

Malaysia imeomba mkopo huo kwa ajili ya kulipa madeni.

Viongozi hao wawili wamekutana Tokyo wakati wa kuhudhuria mkutano wa  ""Mustakabali wa Asi"nchini Japan.

Japan inaonekana itaisaidia Malaysia kwa kuipa mkopo huo.

Waziri Mkuu wa Mayaysia amesema kuwa deni la Malaysia lilikuwa  karibu dola 252,000,000 katika kipindi cha serikali ya awali.


Tagi: mkopo , Japan , Malaysia

Habari Zinazohusiana