Punguzo la bei Turkish Airlines

Shirika la ndege la Turkish Airlines limetoa punguzo kubwa la bei kwa safari kutoka Istanbul kuelekea nchi za Ulaya ikiwemo Italia,Ugiriki,Uhispania,Ufaransa,Ureno na Malta.

Kwa mujibu wa habari,ofa hiyo itatolewa kwa asilimia ndogo ya abiria.

Ofa hiyo itafaidisha wale wanasosafiri kuanzia 1 Julai 2018 mpaka 31 Machi 2019 ambapo tiketi zitaanzia dola 119.

Punguzo hilo la bei linaweza kutofautiana kuanzia ofisi moja hadi nyingine na kuwa tofauti  kwa wale watakaonunua kupitia internet.

Maelezo zaidi yanaweza kupatikana kupitia "www.turkishairlines.com" au nambari "444 0 849".

 Habari Zinazohusiana