Rais Erdoğan akatika siku ya pili ya mkutano wa NATO Ubelgiji

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan akiwa katika siku ya pili ya mkutano wa NATO

Rais Erdoğan akatika siku ya pili ya mkutano wa NATO Ubelgiji

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ameshiriki katika  mkutano wa  tatu wa viongozi wa muungano wa NATO mjini Brussels  na  kuzungumza na waziri  mkuu wa Italia Giuseppe Conte.

Rais Erdoğan ameshiriki  pia katika mkutano ambao ulizungumzia haşli inayoendelea nchini Afghanistan.

Erdoğan anatarajiwa pia kuzungumza na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron , rais wa Ukraina na Bulgaria  Radev na Petro Porochenko. Rais wa Afghansitan atakutana pia na rais Erdoğan na waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras.

 

 


Tagi: NATO , Erdoğan

Habari Zinazohusiana