Rais Erdoğan azungumza na kansela wa Ujeumani Brussels

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel  nchini Ubelgiji

Rais Erdoğan azungumza na kansela wa Ujeumani Brussels

Rais wa Uturuki azungumza na kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel katika mkutanoo wa NATO unaoendelea mjini Brussels nchini Ubelgiji. Viongozi hao walizungumza Jumatano  majira ya jioni khusu ushirikiano baina ya Uturuki na Ujerumani.

Rais Erdoğğan kama viongozi wengine wanachama wa muungano wa NATO  wanakutana mjini Brussels kuzungumzia masuala tofauti kuhusu muungano huo.

Katika mazungumzo hayo kati ya rais Erdoğan na Merkel, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa ulinzi wa Uturuki Hlusı Akar na msemaji wa ikulu Ibrahim Kalın wameshirikia pia katika mazungumzo hayo.

Mapamabano dhidi ya ugaidi,  uwajibikaji katika muungano huo  na masuala mengine yanajadiliwa katika mkutano huo mjini Brussels.

 Habari Zinazohusiana