Kundi la DAESH laua magaidi wa Taliban nchini Afghanistan

Wafuasi 15 wa kundi la Taliban wameuawa katika opresheni  iliyoendeshwa na kundi la kigaidi la DAESH nchini Afghanistan.

Kundi la DAESH laua magaidi wa Taliban nchini Afghanistan

Wafuasi 15 wa kundi la Taliban wameuawa katika opresheni  iliyoendeshwa na kundi la kigaidi la DAESH nchini Afghanistan.

Kwa mujibu wa habari,shambulizi hilo limeendeshwa katika eneo la Sar-i Pul .

Magaidi wengine watano wa Taliban wameipotiwa kujeruhiwa.

Hakuna maelezo yaliyotolewa na kundi lolote la kigaidi kuhusu shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana