Wayahaudi wenye msimamo mkali wavamia mskiti wa al Aqsa

Wayahusi wenye msimamo mkali zaidi ya 700 wavamia mskiti wa al Aqsa

Wayahaudi wenye msimamo mkali wavamia mskiti wa al Aqsa

Kulingana na taarifa zilizotolewa na wa shirika la  Wakf  mjini Yerusalemu ni kwamba wayahudi wenye msimamo mkali wamevaöia mskiti wa al Aqsa mapema Jumapili  majira ya asubuhi.

Wayahudi zaidi ya 720 wakilindiwa usalama na  jeshi la Polisi la Israel wameingia katika uwa wa msikiti wa al Aqsa Jumapili.

Jeshi la Polisi la Israel  limeweka vizuizi na kuwakagua wapalestina  kabla ya kuingia  katika  mskiti  huo.

Wayahudi wamekuwa wakivamia mskiti wa al Aqsa kwa wingi kinyume na ilivyokuwa mwaka 2017.

 Habari Zinazohusiana