Ngome ya mwisho İdlib

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA , Can ACUN anatufafanulia

Ngome ya mwisho İdlib

Kwa msaada wa jeshi la Urusi na  Iran, serikali ya Syria na  jeshi lake imeweza kuwapokonya waasi waliokuwa katika amaeneo kadhaa kwa kuendesha operesheni.

Upinzani nchini Syria  na raia wanaishi Homs , Ghuta baada ya kuondolewa katika maeneo tofauti, Idlib  na Dera ndio ilikuwa kimbilio lao. Idlib imekuwa  ngome ya mwisho  ya jeshi la upinzani wa Assad nchini Syria. 

Idlib ni eneo ambalo lililkuwa na wakaazi 700 000 kabla ya  vşta vya wenye kwa wenyewe kuanza nchini Syria. Mji huo kwas asa una wakaazi  takribani  milioni 3. Eneo hilo lilisainiwa makubaliano ambayo  lengo lake ilikuwa kusitisha mapigano baada ya mazungumzo ya Astana ambayo yalihusu eneo hilo. Baada ya mazungumzo ya amani kuhusu Idlib yaliofanyika Astana  Uturuki iliweka vituo 12 vya kulinda usalama .

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA , Can ACUN anatufafanulia…

Operesheni  za kijeshi  Idlib ambazo zinaendeshwa  kwa ushirikiano na Urusi na Iran zimekwishaendeshwa kwa muda mrefu. Vile vile kumekuwa kukizungumziwa uwezekano wa kuendeshwa kwa operesheni kabambe  Idlib, Iwapo kutaendeshwa operesheni  wimbi kubwa la wakimbizi itakuwa ni jambo ambalo halitokwepeka. Wimbi hilo la wakimbizi litakuwa na athari katika jamii.

Mamilioni ya raia kutoka katika jimbo hilo watakimbilia Uturuki kwa ajili ya kunusuru maisha yao na kuomba hifadhi. Uturuki ikiwa na idadi kubwa ya wakimbizi  ulimwenguni  haitoweza kukidhi mahitaji ya wakimbizi iwapo operesheni Idlib itaanzishwa.

Kuendesha operesheni Idlib kutarudisha nyuma   harakati za Uturuki kutoa misaada ya kiutu kwa watu ambao tayari wapo katika hali isioridhishwa. Uturuki inafanya kila liwezekanlo kuzuia eneo hilo kutumbukia upya katika  janga.

Mkutano uliofanyika mjini Astana kati ya Iran, Urusi na Uturuki  malengo yake ni kuhakikisha kuwa amani ya kudumu inarejea  nchini Syria.

Iran  ilipeperusha moja kwa moja mazungumzo hayo ili ulimwengu mzima ufahamkinachoendelea kuhusu kusitishwa mapigano japo kwa muda Idlib. Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amefahamisha mara kadhaa kuwa kuna umuhimu mkubwa  kuwalindia amani na kutuma misaada ya kiutu.

Uturuki ni taifa pekee ambalo limejitolea kwa hali na mali kuhakikisha kuwa mzozo wa Syria unakomeshwa. Uturuki imefanya juhudi kubwa licha ya Iran na Urusi kutokuafikiana kusitisha maoja kwa moja mapigano. Kumeonekana kuwa na tofauti zilizojitokeza kuhusu Idlib katika mkutano wa Tehran .

Kuna uwezakano wa kupatia ufumbuzi wa mzozo wa Syria mbao kwas asa Idlib inatazamwa na ulimwengu mzima.

Urusi na washirika wake   wanajaribu kupatia suluhu kuhusu Idlib  kwa ushirikio pia na Uturuki.  Uturuki imearibu  mara kadhaa kupendekeza  suluhu ambalo linafaa kunako mzozo  huo.  Moja miongoni mwa mapendekezo ni  ushawishi wa upinzani wa Muzahim  na tume ambayo  ilikuwa ikiongozwa na Tahrir. 

Madhila  ambayo yatawakabili wakaazi  katika maeneo ambayo yanatarajiwa kushambuliwa yatapelekea raia kukimbilia nchin Uturuki. Kulikuwa na umuhimu kuunda eneo ambalo litakuwa salama ikiwemo mjini kati Idlib. 

Vile vile kutakuwa na vizuiai ambavyovitazuia yeyote  yule atakaetaka kumiliki eneo moja au lingine. Uturuki imezungumza mara kwa mara kuhusu misaada ya kibinadamu na makabiliano dhidi ya wanamgambo wa kundi la PKK/YPG. Kundi Uturuki haitokubali kushirikishwa katika mazungumzo na kunufaika na mazungumzo ya kisiasa. Iwapo kutakuwa na operesheni  Idlib , kundi la  kigaidi la PKK litajipenyeza. 

Tunafahamu kuwa  wapiganaji wa Hezbollah   walitoa mafunzo kwa wapiganaji .  Tunafahamu pia kuwa wana mipango ya kushiriki katika operesheni. Iwapo watashiriki  katika operesheni huendea wakaanza harakati za kutaka kuiteka Afrin.-

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA , Can ACUN

 


Tagi: Idlib , Uturuki , Syria

Habari Zinazohusiana