Trump atolea wito Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta duniani kupunguza bei za mafuta

Rais wa Marekani Donald Trump atolea wito  Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta duniani kupunguza bei za mafuta

Trump atolea wito Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta duniani kupunguza bei za mafuta

Siku tatu kabla ya mkutano wa Alger, rais wa Marekani Donald Trump  ametolea wito Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta duniani kupunguza bei za mafuta .

Wito huo unalenga matafa ya  Mashariki ya Kati.

Wito huo umetolewa  na rais Trump katika ukurasa wake wa Twitter.

Wito huo umeonekana kuwa na vitisho kwa kuwa rais Trump katika ujumbe wake huo amesema kuwa  Mashariki ya Kati ni eneo ambalo linalindiwa usalama  kwa muda mrefu.

Kutokana na hilo matafa katika eneo la Mashariki ya Kati yanatakiwa kupunguza  bei za mafuta.Habari Zinazohusiana